Aisee kumbe tunaish mtaa mmoja..nilishuudia hilo tukiojirani yangu hapa alioa akazalisha watoto wa tatu yani huyu mama anagongwa na wanaume tofauti na si kwamaba anashida ya pesa ni hulka tu.. juzi kafumaniwa na dereva daladala kwenye kichumba cha ajabu wakati home kaacha nyumba kubwa mwanaume akisafiri siku mbili analeta mwanaume ndani... mwanaume sijui kalogwa yule me hata sielewi
ha haha sitaki bana
Toa sababu.Mmh sikushauri uoe,,
Achana naye utakuuja kujuta zaidi baadae kuliko ambavyo ungejuta sasa hivi,
Kuna msemo unasema mbuzi ni mbuzi hawezi kuwa simba.
Mtu kama huyo sio mvumilivu, i mean huyo mwanamke anayejiuza cause kuna njia nyingi za kujikwamua kimaisha , hivo bas ata uyo jamaa siku akishindwa kumpa mahitaji yake nini kitamzuia asiende tena kujiuza ,na ndio mwanzo wa kupata magpnjwa na maisha kuharibikaToa sababu.
Ahahaa miss usinifanyie ivo...ha haha sitaki bana
Hamna bora tuwe tu hukuAhahaa miss usinifanyie ivo...
Sawa basi njoo Pm tupige sogaHamna bora tuwe tu huku
PouwaSawa basi njoo Pm tupige soga
Mna maana basi nyie? Hata iweje huwa hamridhiki.jirani yangu hapa alioa akazalisha watoto wa tatu yani huyu mama anagongwa na wanaume tofauti na si kwamaba anashida ya pesa ni hulka tu.. juzi kafumaniwa na dereva daladala kwenye kichumba cha ajabu wakati home kaacha nyumba kubwa mwanaume akisafiri siku mbili analeta mwanaume ndani... mwanaume sijui kalogwa yule me hata sielewi