Nampenda Changudoa

Mkuu usioe kipindi hiki ambacho una mkanganyiko wa mawazo tulia...Kuwa na time nzuri ya kumsoma zaidi...watu wa aina hiyo hawachelewi kwenda kupasha kiporo moto.. si unajua tena Zombie halishibi damu..kwa hiyo jipange
 
madada wengi tu siku hizi wanaishi kwa kutegemea K yaani wauzaji isipokuwa huyo kaamua kujianika hadharani ndo maana wanamyita CHANGUDOA ila wote ni walewale
mkuu wewe OA tu wala usiogope ni wewe kama umempenda na yeye kakupenda hapana shida 7bu ndoa huandikwa mbinguni
pia kumbuka wewe ndo utakayeweza kumbadilisha kufikia vile utakavyo
NDOA ni IBADA na shurt zake kubwa ni UAMIFU pande zote mbiri lkn ikianza kwako wewe mwanaume vivo UVUMILIVU na namna je unaweza kumtunza kama ulivyomkuta akijishughulisha na uchangudoa wake kujitunza yeye na familia yake
ikiwa unaona ni levo zako na unaweza kumtunza
basi OA halrka sana na THAWABU utakazozipata ni mara kumi zaidi ya kumuoa huyo alokuacha 7bu
MWENYEZIMUNGU aliituma MITUME yake na VITABU vyake kwa ajili ya waja wake WALIOPOTEA kwa kukosa mahalifa na walotumbukia katika majaribu ya SHETANI
hivyo ikiwa wewe utamuoa huyo msichana inamaana umemfanyia NUSRA sana hapa DUNIANI kwa kumsitili na hapana shaka MWENYEZIMUNGU atakusitili vema na wewe kesho AKHERA kwa wema ulomfanyia MJA WAKE kumtoa kunako kwa SHETANI kumuweka katika MIKONO SALAMA

jambo la mwisho nakuusia tu kuwa mwanamke ukishakuwa nae wewe kwake kama kioo yaan hata awe mtukutu vipi ni wewe ni vile twasira utakayomrudishia akijitazama hivyo ukiwa anataka abadilike asurudi nyuma kuwa mkweli kuwa NATURE yaani tabia maneno huduma na mengi unayomuonesha kabla ya ndoa iwe hivyohivyo au yazidi mkishaingia katika NDOA
 
 
Inagusa sana hii aisee..lakini ni mwanamke pia..ana moyo na anahitaji kupendwa,kuolewa na kuwa na familia kama wanawake wengine..so; Ongea nae alafu umuangalie kama anafeel unachofeel PIA MCHUNGUZE na FAMILIA YAKE NA UKOO kama kuna kuna hizi tabia then Utafanya maamuzi mkuu..GOODLUCK..
 
Ni mwanamke yupi utakayemwoa sasahivi na kuwa na uhakika 100% na kujiridhisha kuwa si Malaya?

Watu wanabadilika, yeye pia ni Mtu atabadilika kabisa akiamua yeye ama ukijitahidi kumrekebisha vizuri.

Kama Hana Ukimwi, Hakufanya mapenzi kinyume na maumbile na Ana uwezo wa kubeba mimba na kukuzalia watoto...unaweza kumuoa kabisa.

Kila la kheri.
 
Tabia ni kama ngozi...

Mwanamke anayeuza mwili inafika Point anazoea zile tabia... Siku zingine atafanya siyo kwa sababu ya pesa, sababu kazoea ile hali...

Jiandae. Usijeanza kumrushia maneno ya kashfa ndani ya ndoa wakati unajua kabisa ulipomtoa wapi na kwenye mazingira gani...


Cc: mahondaw
 
mkuu,achana naye,atakuja kukusumbua baadaye.
 
Mtoto yuko wap
 
ulikua unaogopa heart break kuliko ukimwi
yah kweli kua uyaone
 
Chief nimeipenda story. Imenivutia ila muweke ndani kwa miezi tatu kwanza ukimchunguza kama atafaa isije kuwa ni zima moto tuu kwake ila katika kipindi hicho usimchoke. Just testing tuu baada ya hapo chukua hatua
 
Uyo uckute alikua anasaka mume kwa njia ya kujiuza seems lyk ndo kshakupata....

Same uku pia kuna colleague nae incidence kam io ilimkuta n u cant imagn nxt week ni send off ya yule changu kwenda kuolewa n jamaa..

Mpk leo hatuamin coz ata bnafc nlimptia mara kibao tu bt ndoivo tena dam zao zmekutana kuendana n wamependana thus soon watakua mwili m1...

Michango nmetoa bt nmedanganya ntakua n udhuru cku zte za sherehe izo... Mana dohh
 
Mmiliki kabisa sababu ya kuwa changu ni ugumu wa maisha mpe matakwa yako akifuata muishi atatulia tuli mimi ninayo stori hiyo kusimulia hapa ni ndefu wewe oa
 
Majuto sio mtoto ni mjukuu.
 
Ni kama ku trade au kubeti, wasake jamaa wa forex wakupe vitabu ujisomee ili uwe professional.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…