Mambounaangaika tu.....utavuna unachopanda.
poa vpMambo
Yeah muhimu ilikiuwa kuchek shida ni nini pia sio huyo tu kuna wengine wanashida hizo so wadau toeni possible solution ....kwan inaweza kuwa story ya kutunga kufikisha ujumbemtakuja muwaletee wake zenu magonjwa bure
Dokta mwaka au sioHuyo binti ana tatizo la uyoga (yeast) kwenye papuchi yake. Mwambie amuone daktari bingwa wa magonjwa ya akina mama amsaidie kutatua tatizo lake. Sio vzr kumuona mwenzio anaachwa kila kukicha bila kufanya jitihadi za kumsaidia...sio poa hata kidogo.
Watu wa mwanza mnashida sanaUngetupiamo na kapicha mkuu
Hapo lazima utifue tu ndio utajua kama kapona otherwise utojuaItabidi nimnawe na kunusa, nitajua tuu
Nishacomment love,nichelewe tena
kuna magonjwa laknSi wepesi kusema wamechoka acha tu tupooze machungu tu kwa michepuko.
duuh wana ndoa wana kazi jamaniI can tell 70% jamaa atakuwa na magonjwa tayari mana mwanamke kununa ukwni mostly huwa ni gono
kweli kabisaYeah muhimu ilikiuwa kuchek shida ni nini pia sio huyo tu kuna wengine wanashida hizo so wadau toeni possible solution ....kwan inaweza kuwa story ya kutunga kufikisha ujumbe
Oa mke mdogo ijulikane hata kwa kimila siyo hivyo vimchepuko matokeo yake ndo hayo.Mkuu acha kujitoa ufahamu, inamaana hujui ni ngumu kiasi gani kutokuwa na mchepuko?
Ko wengine k inanuka Maisha yake yote ????pole sana.
Punguzeni kukimbia kimbia na hio mikia yenu hivi mtabadilika lini!
anyway; ungekaa na huyo dada umuulize nini hasa tatizo, maana wanawake tuna mambo ya kujichokonoa chokonoa mara kaweka ndimu mara asali mara sijui vitu gani, au amewahi kutoa mimba?
kama hajawahi kabisa kuchokonoa huko em mwambie ajaribu misk ikishindikana aende hosp
japo nasikiaga wengine ndivyo walivo...