dhameery yusuph
Senior Member
- Jul 18, 2013
- 163
- 30
Haya haya tena !
Kumekucha Auction mart .
Judgemen mambo&za siku
Poa mtu wangu!
Komaa uvuvini , samaki wenyewe haba kweli siku hizi .
Jiandae kukutana na Asumini , vilua na udi vya kumwaga !
shemmhahahaaa shem lake mi misemo yako tu hoiiiiiiiiiiiiiii
hahahaaa shem lake mi misemo yako tu hoiiiiiiiiiiiiiii
Habari zenu All member wa CC
Nimime wote
Nilikua adim kutokana na majukumu ya kikazi
Miss U sana Arabera&Love U
Woow bahati iliyoje hii..naifananisha na bahati ya mtende kuotea jangwani..hujambo dhameery yusuph
Woow bahati iliyoje hii..naifananisha na bahati ya mtende kuotea jangwani..hujambo dhameery yusuph
Woow bahati iliyoje hii..naifananisha na bahati ya mtende kuotea jangwani..hujambo dhameery yusuph
Teh! Teh! Teh ! Shem usinipe misifa lukuki kiivo! Wajua tena wengine tukisifiwa , ndo inakua shuzi limepata mjambaji!
hata mi nilikuwa hukohuko rose garden na naniliuuu, kwani ulikuwa na shida gani shem lake?