Nampa Taraka

Nampa Taraka

ABINALA

Senior Member
Joined
Sep 20, 2013
Posts
134
Reaction score
55
Kama kichwa cha habari!
Nimechoshwa na stress za ndoa
Nataka kuwa huru kwa kumtariki Mke wangu.
Sasa sijui muundo wa hiyo taraka msaada tafadhali
Kwamaana sijawahi kufundishwa popote namna ya kuandika taraka zaidi ya barua,muhtasari n.k
 
Hao waliokufundisha kuoa hawakukufundisha kuhusu talaka?
 
POLE SANA MKUU ILA NINGEPENDA KWANZA UTUMIE NJIA ZA KIDPLOMASIA KWANZA,TARAKA IWE SULUHISHO LA MWISHO KABISA
 
Talaka Ni chukizo mbele ya Muumba. Kaa na mkeo muyajenge
 
Weka namba hapa wanaume wamchukue.
Unasema chanini wenzio wanasema watakipata lini.
 
Chukua karatasi Tatu ziandike zote kuwa umemwacha mkeo hyo then moja kaa nayo nyingne mpe, ya tatu peleka kwa balozi hiyo ndo inaitwa taraka Tatu
 
Taraka haijawahi muacha mwanandoa salama
 
Hivi ni TARAKA au ni TALAKA.?
....
Back to the point. Nadhani waliikufundisha kuhusu ndoa wakaaahau kukupa maelekezo kuhusu hiyo ndio ungewafuata wakakuelekeza.
 
Andika.. "kuanzia sasa wewe shuwea bint Ahamad, nakuacha kwa talaka tatu, kuanzia sasa sio Mke wangu tena ".....mkabidhi mwanangu aende,. Kuna nini sasa! Maisha yenyewe haya!
 
Mini m
Hivi ni TARAKA au ni TALAKA.?
....
Back to the point. Nadhani waliikufundisha kuhusu ndoa wakaaahau kukupa maelekezo kuhusu hiyo ndio ungewafuata wakakuelekeza.
Nini maana ya great thinkers au umejisahau kuwa hili jukwaa ni LA watu weredi wa mambo?
 
Mini m

Nini maana ya great thinkers au umejisahau kuwa hili jukwaa ni LA watu weredi wa mambo?
Ni kweli. Lakini maana yangu ni kwamba waliomfundisha masuala ya ndoa wakaacha kumpa maelekezo ya TALAKA walikuwa na maana yao. Hawakutaka kumuelekeza nikiwa na imani kwamba ni sawa na kuihalalisha, hivyo ni vema akawafuata wao wampe maelekezo.
 
ushindwe ulegee kabisa, yani uongeze watoto mitaani na omba omba? Mungu alisema usiachane na mkeo au mmeo mpk kifo, wewe unataka kuacha muke? watoto wa mitaani wanatosha acha kbs
 
Back
Top Bottom