Namna yaKutengeneza Application

buyoya419

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2017
Posts
631
Reaction score
512
Nina shida ya kujifunza kuunda application

Mtaalamu naomba unifundishe kama kuna charge utaniambia kiasi gani then tupange

kama app ya djmwanga
 
Nina shida ya kujifunza kuunda application

Mtaalamu naomba unifundishe kama kuna charge utaniambia kiasi gani then tupange

kama app ya djmwanga
Kuna jamaa anaitwa yutube, ana kila kitu unachotaka kujua kuhusu app designing!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…