incredible terminator
JF-Expert Member
- Aug 1, 2016
- 2,229
- 3,525
Kivip mkuuDaah kweli life is nat fair asee.
Duu ubarikiwe nduguPendelea kunywa maji ya baridi asubuhi lakini usiku kula sana wanga asubuhi supu na chapati anza na nne, matunda na maji kwa wingi, jaribu kupunguza mawazo ya vitu ambavyo una uhakika kwa sasa huwezi kuvimiliki kwakifupi kubaliana na uhalisia wako
Wataalamu na wabobezi wakiwemo na waathirika kama sio mashuhuda wapo njiani wanakuja kukalimilisha matakwa yako na kukukamilishia kiu yako.
Samahani una kg ngapi na urefu wako ni futi ngapi? Maana nahakika hilo swali wataalamu wetu watakuuliza humu na bila kusahau nyongeza ya umri wako pia una mataDuu ubarikiwe ndugu
Shahawa ndo suluhisho but upate mchapaji mzuri.Ni vyakula gani mtu anaweza kutumia ili kuzuia wembamba wa kupitiliza hali hii ya wembamba inanikosesha raha mda mwingne, maana mimi ni mwembamba kupitiliza nilishawahi kwenda hosptalini kupima nikakutwa ni mzima sina tatzo lolote wala ugonjwa, ila tatizo langu kubwa huwa ni mwembamba sana afu sehem zangu za mguu pamoja na mapaja kuna mishipa mingi inaonekana pamoja na mikononi kiujumla hali hii inanikosesha amani kwan nabadili kila aina ya chakula ila bado sibadiliki hivyo nina iman humu wapo wataalam wanaoweza kunishauri kipi nifanye au nitumie ili niweze kuw na mwil wa wawastani
Tuheshimiane ndugu kama ww shoga katafunwe peke yakoShahawa ndo suluhisho but upate mchapaji mzuri.
50kg na urefu 5 na nussu umri 25 miakaSamahani una kg ngapi na urefu wako ni futi ngapi? Maana nahakika hilo swali wataalamu wetu watakuuliza humu na bila kusahau nyongeza ya umri wako pia una mata
Na wewe ubarikiwe unene ukiupata uwezo kuu control maana unawezakuwa unatafuta maradhi kwa kasi kama ya serikali ya awamu fulani matokeo yake ukanenepa hadi nywele maana unaweza kukurupuka ukaacha fomyula
Pata mfano wa nguruwe namna anavyo kula hovyohovyo na uone anavyo nenepeana, si lazima vidonge.
Njoo uishi kwangu hizo stress utakazopata unanyauka fastaDooh yaani ninavyohangaika na diet ili nitoe haya makilo mwilini kuna mtu anahangaika anenepe
Ha ha ha ha hapana acha nipambane na diet nishaanza ona matokeo.Njoo uishi kwangu hizo stress utakazopata unanyauka fasta
Ha ha ha ha hapana acha nipambane na diet nishaanza ona matokeo.
Hunitaki tu
Umepungua kilo ngapi?!