Namna ya kuzuia wembamba wa kupitiliza

incredible terminator

JF-Expert Member
Aug 1, 2016
2,224
3,491
Ni vyakula gani mtu anaweza kutumia ili kuzuia wembamba wa kupitiliza hali hii ya wembamba inanikosesha raha mda mwingne, maana mimi ni mwembamba kupitiliza nilishawahi kwenda hosptalini kupima nikakutwa ni mzima sina tatzo lolote wala ugonjwa, ila tatizo langu kubwa huwa ni mwembamba sana afu sehem zangu za mguu pamoja na mapaja kuna mishipa mingi inaonekana pamoja na mikononi kiujumla hali hii inanikosesha amani kwan nabadili kila aina ya chakula ila bado sibadiliki hivyo nina iman humu wapo wataalam wanaoweza kunishauri kipi nifanye au nitumie ili niweze kuw na mwil wa wawastani
 
Pendelea kunywa maji ya baridi asubuhi lakini usiku kula sana wanga asubuhi supu na chapati anza na nne, matunda na maji kwa wingi, jaribu kupunguza mawazo ya vitu ambavyo una uhakika kwa sasa huwezi kuvimiliki kwakifupi kubaliana na uhalisia wako

Wataalamu na wabobezi wakiwemo na waathirika kama sio mashuhuda wapo njiani wanakuja kukalimilisha matakwa yako na kukukamilishia kiu yako.
 
Duu ubarikiwe ndugu
 
Duu ubarikiwe ndugu
Samahani una kg ngapi na urefu wako ni futi ngapi? Maana nahakika hilo swali wataalamu wetu watakuuliza humu na bila kusahau nyongeza ya umri wako pia una mata

Na wewe ubarikiwe unene ukiupata uwezo kuu control maana unawezakuwa unatafuta maradhi kwa kasi kama ya serikali ya awamu fulani matokeo yake ukanenepa hadi nywele maana unaweza kukurupuka ukaacha fomyula

Pata mfano wa nguruwe namna anavyo kula hovyohovyo na uone anavyo nenepeana, si lazima vidonge.
 
Ni vyakula gani mtu anaweza kutumia ili kuzuia wembamba wa kupitiliza hali hii ya wembamba inanikosesha raha mda mwingne, maana mimi ni mwembamba kupitiliza nilishawahi kwenda hosptalini kupima nikakutwa ni mzima sina tatzo lolote wala ugonjwa, ila tatizo langu kubwa huwa ni mwembamba sana afu sehem zangu za mguu pamoja na mapaja kuna mishipa mingi inaonekana pamoja na mikononi kiujumla hali hii inanikosesha amani kwan nabadili kila aina ya chakula ila bado sibadiliki hivyo nina iman humu wapo wataalam wanaoweza kunishauri kipi nifanye au nitumie ili niweze kuw na mwil wa wawastani
Shahawa ndo suluhisho but upate mchapaji mzuri.
 
Samahani una kg ngapi na urefu wako ni futi ngapi? Maana nahakika hilo swali wataalamu wetu watakuuliza humu na bila kusahau nyongeza ya umri wako pia una mata

Na wewe ubarikiwe unene ukiupata uwezo kuu control maana unawezakuwa unatafuta maradhi kwa kasi kama ya serikali ya awamu fulani matokeo yake ukanenepa hadi nywele maana unaweza kukurupuka ukaacha fomyula

Pata mfano wa nguruwe namna anavyo kula hovyohovyo na uone anavyo nenepeana, si lazima vidonge.
50kg na urefu 5 na nussu umri 25 miaka
 
Unahitaji protein nying na wanga wakutosha. Kuongeza misuli nigarama sna kuliko kunenepa au kupunguza mwili. kg 50 itakuhitaji kila kg moja uilishe gm 1.5 ya protein kwa sku
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom