Namna ya kutumia pd proxy

Joined
Apr 8, 2012
Posts
29
Reaction score
0
Natumai hamujambo wakubwa na wadogo zangu kama mm.Hivyo nilikuwa naomba msaada wenu kwa anaejuwa vizuri matumizi ya PD PROXY maana niliwahi kujiunga zamani sana ila nikawa siitumii ila kwa sasa nahitaji kuitumia coase nasikia iko faster sana kwenye matumizi ya INTERNET nimejaribu kutizama jinsi unavyo itumia ila sikuelewa so nwaombeni msaada wenu kwa anaefahamu namna ya matumizi yake
 

kwani ww ulidownload hapo zamani kwa ajili ya nini.
 
Unataka kuamsha waliolala..

piga namba 100 kwenye simu yako then utauliza na kujibiwa maswali kama unavyotaka..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…