NAMNA YA KUTENGENEZA TUTORIAL KWA SCREEN CAPTURE

Edc Tz

Member
Apr 20, 2018
60
38
Wanajamvi napenda nifahamishwe kitu kimoja. Hua natengenza tutorial za screen capture kwenye laptop yang natumia program ya Webcam Au cyberlink ambayo ina uwezo huo lakin tatizo lipo kwenye sauti kwa sababu laptop haina maiki nzurii ambayo inaweza kuchukua sauti vizurii. Naomba kwa mjuzi ni maiki ipi inafaa na gharama zake zipoje. Na pia kama kuna mtu ana ujuzi na haya mambo anipe maelekezo kuhusu jambo hili
 
Si utumie headphone tuu...maiki zipi nyingi ni hela yako tuu tembelea maduka yanayouza vifaa vya computer
 
Back
Top Bottom