Mimi ni mtumishi wa umma ufaulu ni mzuri upper second 3.9
Age ni 27
Vigezo karibia vyote ninavyo
Malengo yangu yalikuwa niwe na mume ndo nikasome masters ila yalotokea ndoto zikazimika dahhh wanaume nyie Mungu anawaona
Sasa acha niende tu shule, mume atanikuta huko huko
Nimecheka tena yani wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kumbe umesoma?
Nilikua naona maandishi yako nasema huyu mtu hata chekechea sidhani kama kapitia
Nimecheka tena yani wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ina maana naandikaje [emoji57][emoji57][emoji57]
Mbona najua buana acha hizo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Nimecheka kwa sauti kwani inaandikwajeeeee mana siku naandika nilifuta ka mara tatu mwisho nkaona isiwe tabu, watu wenyewe nawaandikia waswahili wenzangu, nikaacha hivoKuna sehemu niliona umeandika flypan hahahahahaha
Nilichoka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Nimecheka kwa sauti kwani inaandikwajeeeee mana siku naandika nilifuta ka mara tatu mwisho nkaona isiwe tabu, watu wenyewe nawaandikia waswahili wenzangu, nikaacha hivo