Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,062
- 43,478
Mkuu cjakupata vzuri apo kua wanatumia sana kiingereza kivip ani ndo inawapelekea kua ivo wataalam? Na vipi kuhusu lugha yao ambayo ni kihindi kaka?
mfano sisi Tanzania tunatumia kingereza sana internet na hata website zetu ni za kingereza hivyo ni rahisi kukutana na website za wahindi sababu nao wanatumia kingereza. nimemaanisha hivyo.Mkuu cjakupata vzuri apo kua wanatumia sana kiingereza kivip ani ndo inawapelekea kua ivo wataalam? Na vipi kuhusu lugha yao ambayo ni kihindi kaka?
India ina state nyingi sana wanaoongea kihindi ni watu wa kaskazini tu, ukienda state za tamil unakuta watu wanaongea kitamil hawajui kihindi, kuna kannada telegu etc angalia hii ramani.
hivyo ukitumia kingereza india ni rahisi website yako kusomwa na nchi nzima kuliko kutumia kihindi.