Namna ya kusurf bure

Namna ya kusurf bure

Tatizo ukifanya payload ya free host error ya 301 inakuhusu,,, nadhan isp washa blacklist free hosts zao kua payloaded na hiyo tunnel app,,, cjui kama kwako unafanikiwa!?
Huwa unatumia http method gani !?
 
Jamani wa Tz tunashindwa nini, maana nimepitapita katika blog nying za waind wanaonyesha mins wanavyotumia freebasics.com app kupeluz website mbalimbali kwa kuihack na kuchange proxy and VPN, xaxa kama kunamwenye ujuz huo humu jf aulete maana mm nataka kufungua google freely kwa kutumia fee basics
Anayejua
Help
Pleaz
Wahindi hawaishiwi na tricks wale jamaa sema kibongobongo zimebuma. Sidhani kama kuna trick inayofanya kazi kwa sasa soo sad yan
 
Huwa unatumia http method gani !?
GET & HEAD ila leo nimefanya payload ya mabasi mawili ivi nikaona yanaleta matumaini, ila tatizo ni jinsi ya kuiconfigure ndio shida bado cjajua...
 
GET & HEAD ila leo nimefanya payload ya mabasi mawili ivi nikaona yanaleta matumaini, ila tatizo ni jinsi ya kuiconfigure http injector ndio shida bado cjajua...
Kuna basi tunapitia barabara ya TRACE method
 
Hii website ya Www.freebasics.com
Inakupa access ya kufungua baadhi ya sites kama jf,bbc swahili,shuledirect n.k
Ni kwa baadhi ya mitandao kama vile voda,tigo,airtel n.k
Pia ni kwa baadhi ya browser za simu tu kama vile operamini,dolphin,chrome n.k
Hata Mimi naitumia sana inasaidia mno.free basic download it.
 
Kwenye free basic kuna ask com aisee hiyo ni google ndogo wanajitahidi sana
 
Hii website ya Www.freebasics.com
Inakupa access ya kufungua baadhi ya sites kama jf,bbc swahili,shuledirect n.k
Ni kwa baadhi ya mitandao kama vile voda,tigo,airtel n.k
Pia ni kwa baadhi ya browser za simu tu kama vile operamini,dolphin,chrome n.k
hata kwa pc inawezekana.. sema unahitaji kuweka addons kama user agent switcher
 
FOR NOW IPO FREE INTERNET UNLIMITED KARIBUNI INBOX

Tupe uthibitisho kuwa wewe sio tapeli mkuu. Mambo hayaendi kirahisi rahisi kama udhaniavyo ndugu.

Wengi humu ni matapeli atataka utume pesa kwanza then baada ya hapo hamna huduma.

Tuchukue tahadhari wakuu hali zinawakaba wengi kwa sasa, so.

Be careful.
 
Mwenye payload or hat inayopiga kazi aje inbox
 
Back
Top Bottom