Nashukuru kwa ushauri,nitaufanyia kazi!Tatizo kipeperushi nilikipoteza wakati ninaibeba!Kama unajua namna ya kuisafisha hasa kwa ndani nisaidie huo ujuzi maana wakati mwingine barafu hugandiana hasa kwenye kutaHiyo freezer imekuja na vipeperushi jaribu kuvipitia vizuri halafu uishi nalo Kutokana na maelezo ya hivyo vipeperushi.
Aiseeehhh.
Nenda YouTube Kisha andika namna Bora ya kutunza freezer ili lidumu kwa muda mrefu. Au tumia Chatgtp andika na brand ya freezer lako.Nashukuru kwa ushauri,nitaufanyia kazi!Tatizo kipeperushi nilikipoteza wakati ninaibeba!Kama unajua namna ya kuisafisha hasa kwa ndani nisaidie huo ujuzi maana wakati mwingine barafu hugandiana hasa kwenye kuta
Mbona wewe ni @Icebreaker halafu unadanganya wasitumie kisu kukwangua? On serious note: huu ni ushauri mzuri. Katu usi-force kubandua barafu! Zima freezer lako, acha barufu ziyeyuke zenyewe, lioshe.Kwanza freezer uizime ili ile barafu ''Ice'' iyeyuke halafu chukua maji ya uvugu uvugu,changanya na vinegar,tumia sponge au hayo maji yaweke kwenye spray bottle,kisha unapulizia freezer yako na kufuta kwa kitambaa safi,unaweza kuchanganya maji na sabuni pia ukasafisha ila vinegar ni food safe zaidi kuliko sabuni,
Warning usijaribu kutumia kisu au kitu chochote cha chuma kukwangulia barafu ndani ya freezer yako!
Nashukuru sana kwa maelezo mazuri nitayafanyia kazi!Ningependa kukuuliza,hayo maji ya uvuguvugu nayatoaje ndani ya hiyo friza?Ni kwa kuyachota au huku chini kuna katundu ninaweza kukafungua?Kwanza freezer uizime ili ile barafu ''Ice'' iyeyuke halafu chukua maji ya uvugu uvugu,changanya na vinegar,tumia sponge au hayo maji yaweke kwenye spray bottle,kisha unapulizia freezer yako na kufuta kwa kitambaa safi,unaweza kuchanganya maji na sabuni pia ukasafisha ila vinegar ni food safe zaidi kuliko sabuni,
Warning usijaribu kutumia kisu au kitu chochote cha chuma kukwangulia barafu ndani ya freezer yako!
Sio kwamba unamwagia maji ndani ya Freezer kama vile una osha Gari au unapiga deki sakafu,Nashukuru sana kwa maelezo mazuri nitayafanyia kazi!Ningependa kukuuliza,hayo maji ya uvuguvugu nayatoaje ndani ya hiyo friza?Ni kwa kuyachota au huku chini kuna katundu ninaweza kukafungua?