Namna ya kurudisha email address

Namna ya kurudisha email address

Zungweboy

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2018
Posts
363
Reaction score
178
ndugu wana familia naomba msaada wa kurudisha email yangu
chanzo cha email kugoma kufunguka ni baada ya namba niliotumia kuifungulia kupotea na kutowezekana kuirudisha
email ni ya google
nawasilisha kwenu msaada
 
Nilipata tabu sana kipindicho yahoo...hadi nikahamia gmail..

Anyway kama namba umepoteza je hukuweka email nyingine kwa ajili ya recovery...
 
Nilipata tabu sana kipindicho yahoo...hadi nikahamia gmail..

Anyway kama namba umepoteza je hukuweka email nyingine kwa ajili ya recovery...
sikuweka mkuu
vip kunauwezekano wa kuirudisha mkuu?
 
Back
Top Bottom