Sina budi kulisema hivyo iko hivi
Nikienda kwenye pilika zangu mjini ukikutana na wadada wa mjini hata Kama alishakuwa ex wako au wa ndugu yako
Ukikutana nae lazima akuambie Sasa unaniachaje hapo ni njiani
Ukienda barber shop ukizoena kidogo na muhudumu wa kike kidogo kibuti kinahusika Kama ukimpa hela nzima imekula kwako kwenye chenchi
Nenda club au pub Napo ukiweka kambi jiandae kwa hilo vile vile nyumba za kupanga hivyo hivyo sijui huwa shida zao huwa wanazimalizaje ikiwa muda wote huwa ni wakupewa
Nami nimesha sema anaefaa kupewa bila kuulizwa ni mkee tu wa ndani over.