Namna ya kupata ufadhili wa masomo

Namna ya kupata ufadhili wa masomo

Mr eze95

Member
Joined
Feb 1, 2019
Posts
34
Reaction score
24
Ndugu zangu wana jamvi nakuja kwenu kwa mara nyingine tena kuomba msaada wa hali na mali. Ndoto zangu ni kusoma walau niwe na PHD ya taaluma yangu katika elimu ila kwa sasa bado nina shahada moja. Najua hapa wengi ndipo tunapokwama kujiendeleza kimasomo na shahada ya pili baada ya kushindwa kumudu gharama za kujisomesha mwenyewe katika vyuo vyetu na pia nchi za nje.

Kwa misingi hiyo basi ili nifikie malengo yangu nimeona nijaribu kutafuta ufadhili wa kimasomo(Full funded scholarship)wa kwenda kusomea nchi za nje kama sehemu ya kutimiza ndoto yangu ya kufikia level ya PHD. Hivyo basi naomba kwa mwenye uelewa juu ya uombaji wa hizi scholarship na hatua ninazotakiwa kufuata ili nifanikiwe kufadhiliwa naomba anifumbue akili nipate kuelewa.

Akhsante.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Scholarship ya mauritius umeiona ..ipo very opened go and get a chance
 
Back
Top Bottom