Ni namna ya kucheza na siku za mwanamke, kwa maana mbegu za kiume ziko mara mbili, x na y. x huwa zinasafiri taratibu sana lakini hazifi upesi. y zinasafiri kwa kasi lakini hufa mapema. mbegu y huleta mtoto wa kiume. kwa hiyo ukitaka mtoto wa kike, kwa mfano unatakiwa ufanya tendo la ndoa masaa 24 kabla ya yai kushuka, wanawake wanasema siku za hatariNdugu wapendwa nilipata kusikia unaweza kujipatia uzazi kadri upendavyo haswa kwa wanamme katika uzazi wa mpango wa namna ya kipangilia watoto wa kiume na kike,habari hizi ni kweli? Kama ni kweli wenye ujuzi wanipe elimu
Ngoja wazazi waje
Wapi mkuu?Kiukweli sijakuelewa hata kidogo sawa!!!?
ukitaka dume unatakiwa uwe makini sana. mwanamke lazima awe tayari kwenye siku za hatari angalau kwa siku mbili. hapo tendo la ndoa likifanyika lazima atoke dume, vinginevyo kutakuwa na matatizo kati ya mwanamke au mwanaumeUtatambuaje leo ni siku ambayo dume linaweza tunga?
Ndugu wapendwa nilipata kusikia unaweza kujipatia uzazi kadri upendavyo haswa kwa wanamme katika uzazi wa mpango wa namna ya kipangilia watoto wa kiume na kike,habari hizi ni kweli? Kama ni kweli wenye ujuzi wanipe elimu
Hahaha mkuu tunataka elimu itunufaisheusikimbilie tu kuuliza siku za kumpata mtoto wa KIUME je SHAHAWA zako ziko sawa sawa? au zina madini 3% na uchafu 97%?
Sawa mkuu ila hakuna viashiria?ukitaka dume unatakiwa uwe makini sana. mwanamke lazima awe tayari kwenye siku za hatari angalau kwa siku mbili. hapo tendo la ndoa likifanyika lazima atoke dume, vinginevyo kutakuwa na matatizo kati ya mwanamke au mwanaume
Nashukuru kwa mchango wake maelezo yako yameshiba ukipata wasaa tupe zaidi kwa wale ambao siku zao hazitangamai kwa siku 28 kuna namna ya kugundua leo ni siku ileeee....?Kwanza unatakiwa ujue siku za mwenza wako vizuri.
Nitaeleza kwa wale wa siku 28 tu.
Kwanza ijue siku mwenza wako alipata hedhi..then anza kuhesabu toka siku ile hadi siku ya 14...let say alianza leo tar 5 Jan.sasa siku ya 14 itaangukia tar 18 January.
Kwanini siku ya 14?kwasababu toka mwenza wako apate hedhi,itamchukua siku nyingine 14 yai jingine kupevuka na kuwepo katika mirija ya kurutubishia yai ambapo siku hiyo anaweza kupata mimba.
Sasa,baada ya kujua hilo,unatakiwa kujua life span ya mbegu za kike na zile za kiume.
Mwanaume anatia gamet mbili,yaani XX na YY.
XX inaishi mda mrefu yaani saa 72.
YY inaishi mda mfupi yaani saa 48.
Mwanamke yai lake linaishi kwa mda wa saa 36 tu na gamet anazotoa ni XX.
Hivyo ukirejea pale juu siku yetu ya mfano ya mwenza wako kupata hedhi ilikuwa tar.5 Jan hivyo siku ya tar 18 yai lake litakuwa limekomaa na kuwekwa sehemu ya kurutubishia(fallopian tube) tayari kwa urutubishaji.
Hivyo ukipiga hesabu zako pale,tar 18 hapati mimba?
Jibu ni kuwa atapata iwapo utakutana naye kwani yai litakuwa limekomaa. Na kama unataka mtoto wa kiume unashauriwa usubiri usiku sana kama kuanzia saa tano na kuendelea.
Tar 19 hapati mimba? Jibu ni kuwa atapata na asilimia kubwa sana atazaliwa mtoto wa kiume kwasababu yai litakuwa tayari kwenye mirija ya kurutubishia likiwa linasubiri mbegu za kiume.
Kumbuka male gamet za YY zina mbio zaidi ya zile za mbegu za kiume za XX.
Je tar 20 hatapata mimba? Jibu ni kuwa ukiwahi zaidi atapata kwasababu yai la kike linaishi kwa mda wa saa 36 hivyo ukiwahi kabla mda huo haujaisha basi utapata mtoto dume ila ukichelewa yai la kike XX litakuwa limekufa.
Vip kwa mtoti wa kike?
Tar 17 jan.hapati mimba? Jibu ni kuwa atapata kwa kuwa mbegu za kiume XX na YY zitakuwa hai hadi tar 18.
Je tar.16? Atapata kwa kuwa mbeguu XX na YY zitakuwa bado hai hadi tar 18 Jan.
Sasa vip tar 15? Atapata mtoto na uwezekano mkubwa ni mtoto wa kike kwasababu hadi tar.18 mbegu za kiume YY zitakuwa zimepitisha mda wake wa uhai yaani saa 48 na kuziacha mbegu XX peke yake zikijivinjari.
Tar 14 kama ilivyo tar 21 ni siku ya tahadhari tu lakini uwezekano ni mdogo sana.
XX zinaishi mda mrefu ila mbio kidogo na YY mbio sana lakini maisha mafupi.
So hesabu siku 14 toka hedhi ya mke wako,tar itakayoangukia ukiongeza siku 2 toka tar hiyo siku ya 14 ilipodondokea mda wa usiku wa siku ile ya 14 basi utapata dume na siku inayofuata mda wowote.
Na ukipunguza siku 3 toka siku ya 14 inapodondokea then ukutane na mwenza wako basi mtoto jike anaweza kuja....cheza tu na life span ya yai la kike na life span ya mbegu XX na YY basi
Karibu
Point to remember.usikimbilie tu kuuliza siku za kumpata mtoto wa KIUME je SHAHAWA zako ziko sawa sawa? au zina madini 3% na uchafu 97%?
Je kuna uhusiano kati ya kupata Mtoto wa kiume ya Wiki za kuzaliwa?Kwanza unatakiwa ujue siku za mwenza wako vizuri.
Nitaeleza kwa wale wa siku 28 tu.
Kwanza ijue siku mwenza wako alipata hedhi..then anza kuhesabu toka siku ile hadi siku ya 14...let say alianza leo tar 5 Jan.sasa siku ya 14 itaangukia tar 18 January.
Kwanini siku ya 14?kwasababu toka mwenza wako apate hedhi,itamchukua siku nyingine 14 yai jingine kupevuka na kuwepo katika mirija ya kurutubishia yai ambapo siku hiyo anaweza kupata mimba.
Sasa,baada ya kujua hilo,unatakiwa kujua life span ya mbegu za kike na zile za kiume.
Mwanaume anatia gamet mbili,yaani XX na YY.
XX inaishi mda mrefu yaani saa 72.
YY inaishi mda mfupi yaani saa 48.
Mwanamke yai lake linaishi kwa mda wa saa 36 tu na gamet anazotoa ni XX.
Hivyo ukirejea pale juu siku yetu ya mfano ya mwenza wako kupata hedhi ilikuwa tar.5 Jan hivyo siku ya tar 18 yai lake litakuwa limekomaa na kuwekwa sehemu ya kurutubishia(fallopian tube) tayari kwa urutubishaji.
Hivyo ukipiga hesabu zako pale,tar 18 hapati mimba?
Jibu ni kuwa atapata iwapo utakutana naye kwani yai litakuwa limekomaa. Na kama unataka mtoto wa kiume unashauriwa usubiri usiku sana kama kuanzia saa tano na kuendelea.
Tar 19 hapati mimba? Jibu ni kuwa atapata na asilimia kubwa sana atazaliwa mtoto wa kiume kwasababu yai litakuwa tayari kwenye mirija ya kurutubishia likiwa linasubiri mbegu za kiume.
Kumbuka male gamet za YY zina mbio zaidi ya zile za mbegu za kiume za XX.
Je tar 20 hatapata mimba? Jibu ni kuwa ukiwahi zaidi atapata kwasababu yai la kike linaishi kwa mda wa saa 36 hivyo ukiwahi kabla mda huo haujaisha basi utapata mtoto dume ila ukichelewa yai la kike XX litakuwa limekufa.
Vip kwa mtoti wa kike?
Tar 17 jan.hapati mimba? Jibu ni kuwa atapata kwa kuwa mbegu za kiume XX na YY zitakuwa hai hadi tar 18.
Je tar.16? Atapata kwa kuwa mbeguu XX na YY zitakuwa bado hai hadi tar 18 Jan.
Sasa vip tar 15? Atapata mtoto na uwezekano mkubwa ni mtoto wa kike kwasababu hadi tar.18 mbegu za kiume YY zitakuwa zimepitisha mda wake wa uhai yaani saa 48 na kuziacha mbegu XX peke yake zikijivinjari.
Tar 14 kama ilivyo tar 21 ni siku ya tahadhari tu lakini uwezekano ni mdogo sana.
XX zinaishi mda mrefu ila mbio kidogo na YY mbio sana lakini maisha mafupi.
So hesabu siku 14 toka hedhi ya mke wako,tar itakayoangukia ukiongeza siku 2 toka tar hiyo siku ya 14 ilipodondokea mda wa usiku wa siku ile ya 14 basi utapata dume na siku inayofuata mda wowote.
Na ukipunguza siku 3 toka siku ya 14 inapodondokea then ukutane na mwenza wako basi mtoto jike anaweza kuja....cheza tu na life span ya yai la kike na life span ya mbegu XX na YY basi
Karibu
Hiyo sijawahi kuisikia kabisa lakini kutokana na mechanism ya kutengeneza sex ya binadamu ilivyo nadiriki kusema hiyo siyo kweli kabisa.Je kuna uhusiano kati ya kupata Mtoto wa kiume ya Wiki za kuzaliwa?
Yaani inasemekana mfano hukupangilia Mtoto gani Umzae...ila Mke akijifunngua wiki chini ya 40 say 36-38 huyo Mtoto lazima awe ni wa Kike...
Kwamba wa kiume huanzia wiki 40 na kuendelea...
Wewe ndio umefafanua vizuri aisee, ngoja niingie mzigoni kumtafuta second bornKwanza unatakiwa ujue siku za mwenza wako vizuri.
Nitaeleza kwa wale wa siku 28 tu.
Kwanza ijue siku mwenza wako alipata hedhi..then anza kuhesabu toka siku ile hadi siku ya 14...let say alianza leo tar 5 Jan.sasa siku ya 14 itaangukia tar 18 January.
Kwanini siku ya 14?kwasababu toka mwenza wako apate hedhi,itamchukua siku nyingine 14 yai jingine kupevuka na kuwepo katika mirija ya kurutubishia yai ambapo siku hiyo anaweza kupata mimba.
Sasa,baada ya kujua hilo,unatakiwa kujua life span ya mbegu za kike na zile za kiume.
Mwanaume anatia gamet mbili,yaani XX na YY.
XX inaishi mda mrefu yaani saa 72.
YY inaishi mda mfupi yaani saa 48.
Mwanamke yai lake linaishi kwa mda wa saa 36 tu na gamet anazotoa ni XX.
Hivyo ukirejea pale juu siku yetu ya mfano ya mwenza wako kupata hedhi ilikuwa tar.5 Jan hivyo siku ya tar 18 yai lake litakuwa limekomaa na kuwekwa sehemu ya kurutubishia(fallopian tube) tayari kwa urutubishaji.
Hivyo ukipiga hesabu zako pale,tar 18 hapati mimba?
Jibu ni kuwa atapata iwapo utakutana naye kwani yai litakuwa limekomaa. Na kama unataka mtoto wa kiume unashauriwa usubiri usiku sana kama kuanzia saa tano na kuendelea.
Tar 19 hapati mimba? Jibu ni kuwa atapata na asilimia kubwa sana atazaliwa mtoto wa kiume kwasababu yai litakuwa tayari kwenye mirija ya kurutubishia likiwa linasubiri mbegu za kiume.
Kumbuka male gamet za YY zina mbio zaidi ya zile za mbegu za kiume za XX.
Je tar 20 hatapata mimba? Jibu ni kuwa ukiwahi zaidi atapata kwasababu yai la kike linaishi kwa mda wa saa 36 hivyo ukiwahi kabla mda huo haujaisha basi utapata mtoto dume ila ukichelewa yai la kike XX litakuwa limekufa.
Vip kwa mtoti wa kike?
Tar 17 jan.hapati mimba? Jibu ni kuwa atapata kwa kuwa mbegu za kiume XX na YY zitakuwa hai hadi tar 18.
Je tar.16? Atapata kwa kuwa mbeguu XX na YY zitakuwa bado hai hadi tar 18 Jan.
Sasa vip tar 15? Atapata mtoto na uwezekano mkubwa ni mtoto wa kike kwasababu hadi tar.18 mbegu za kiume YY zitakuwa zimepitisha mda wake wa uhai yaani saa 48 na kuziacha mbegu XX peke yake zikijivinjari.
Tar 14 kama ilivyo tar 21 ni siku ya tahadhari tu lakini uwezekano ni mdogo sana.
XX zinaishi mda mrefu ila mbio kidogo na YY mbio sana lakini maisha mafupi.
So hesabu siku 14 toka hedhi ya mke wako,tar itakayoangukia ukiongeza siku 2 toka tar hiyo siku ya 14 ilipodondokea mda wa usiku wa siku ile ya 14 basi utapata dume na siku inayofuata mda wowote.
Na ukipunguza siku 3 toka siku ya 14 inapodondokea then ukutane na mwenza wako basi mtoto jike anaweza kuja....cheza tu na life span ya yai la kike na life span ya mbegu XX na YY basi
Karibu
Ulifanikiwa kupata dume?Wewe ndio umefafanua vizuri aisee, ngoja niingie mzigoni kumtafuta second born