Kila siku tongoza mademu watatu,
Hesabu itakuwa hivi:-
30x3=90, kama zoezi ni endelevu kwa miezi minne utakuwa umetongoza mademu 360
Hata uwe na gundu gani hapo lazima utapata hata mademu 100
Jiandae kuliwa vihela vyako(vocha,nauli, n.k)
Hata mvuvi anaweka chambo kwenye ndoano ili amnase samaki, na vile vile chambo inaweza kuliwa na samaki akatokomea kusikojulikana....