mwalimu mkweli
Member
- Dec 23, 2017
- 35
- 69
Katika maisha kila mmoja wetu lazima apitie changamoto tunasema kama haupo katika changamoto basi umetokea katika changamoto.Changamoto nishida au matatizo anayopitia mtu pindi anapokuwa anafanya au anatarajia kufanya jambo fulani...
Sasa leo nataka nikwambie njia nne ambazo ukizitumia utakabiliana nazo changamoto:-
1-USIKUBALI CHANGAMOTO YAKO NI SPECIAL
kuna watu wanaamini changamoto wanazozipitia leo haijawahi kutokea hapa duniani anajihisi yeye ndiye wakwanza kuipitia hiyo changamoto.......
Nataka nikwambie yupo mtu aliipitia changamoto kama yako naakashinda,yupo mtu bado anaendelea kukabiliana nayo.Hivyo ni vema ukaacha fikra hizo ili uanze kutafuta ufumbuzi wa changamoto yako.......
2-CHANGAMOTO YOYOTE NI SIZE YAKO
Usijikatishe tamaa kwa kutaka kuamini kuwa changamoto unayoipitia siyo kabisa size yako.Nataka nikwambie ndugu kila unachokipitia kilipangwa utapitia ni size yako kabisa anza kupambana nacho.Ukiwa unafikra kuwa ni size yako utafanya kila linalowezekana kuikabili......
3-KUNA MLANGO WA KUTOKEA
Kila changamoto amini upo mlango wa kutokea.Inawezekana hujahuona ila lipo suluhisho.Usikubali kujifungia ndani peke yako shirikisha watu zungumza nao huko huenda ukapata ufumbuzi.......
4-KUNAMABAYA UNAYAEPUKA
Kuna watu leo labda wangepewa utajir basi angekuwa na roho mbaya ,mchoyo,mbinafsi n.k Hivyo amini kuwa changamoto unayoipitia labda kunakitu mungu anakuepushia nacho wakati mwengine ungeambiwa uache ingekuwa ngumu kukiacha Hivyo shukuru ukiamini kuna mazingira au matukio mungu anakuepusha nayo......
KUMBUKA
KUKIMBIA TATIZO/SHIDA NI KUONGEZA TATIZO MATATIZO HUTATULIWA HATUKIMBII MATATIZO/SHIDA