Mto_Ngono
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 686
- 589
Vipo vitu vingi sana ambavyo mwanaume anatakiwa kutumia au kufanya ili kuongeza mbegu unaweza kusema namna bora ya kustawisha mbegu za manaume ili ziwe na rutuba nzuri. Miongoni mwa vitu hivyo ni utumiaji wa matunda na vyakula kama mihogo, karanga (haswa mbichi), viazi vitamu, Nazi (sio maji), korosho, Kweme n.k Pia ufanyaji wa mazoezi ili kuupa mwili nafasi nzuri ya kutengeneza manii bora kabisa. Ukifanya na kutumia vitu hivyo juu utakuwa na manii bora kabisa na utakuwa na uwezo wa kugegeda kila siku.
Naamini sijavitaja vyote embu na wewe ongezea vingine ili kuwasaidia na wengine wawe na uwezo mzuri wa kugegeda na kugawa kwa warembo wetu mbegu bora zaidi ya zinazotumiwa katika kilimo kwanza. Sifa ya mwanaume ni kugegeda pesa baadae.