Namna ya kuondokana na DP World

Namna ya kuondokana na DP World

Yes Jina la Nchi likibadilika na mikataba itakufa.

Bt tuwatendeje waliolifikisha Taifa hapa?

Je ADHABU ya kuwafungia jiwe la kusagia shingoni na kuwatosa baharini inatosha?
 
Tanganyika ikirejeshwa itaikana DP World kwamba haikuingia nayo mkataba huo bali JMT ndiyo iliingia nayo mkataba hivyo idaiwe JMT. Kwahiyo dawa ni kuifufua Tanganyika kama Rasimu ya kwanza ya Katiba ya Tume ya Jaji Warioba ilivyopendekeza.

Sent from my SM-A260F eusing JamiiForums mobile app
Kuna ile Ibara inazungumzis scope of agreement imesema ikiwa kuna serikali mpya basi itarithi mkataba huo.
 
Wafanyiwe kile rais Aboud Jumbe alichofanyiwa na Nyerere.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Sakata la Bandari limenipa funzo kubwa.

Yule wanayemwita mama, pamoja na kelele na mtikisiko Nchi nzima kutaka mkataba usipite, amekomaa mpaka mwisho vile vile.

Nimepata kujua na kuuthibitisha kuwa KITI ndicho kifanyacho maamuzi.

Maamuzi ya mkalia KITI huongozwa na KITI akaliacho kimpacho maelekezo.

Mungu anaweza kubadilisha Maamuzi ya KITI ikiwa tutatubu na kumwombea mkalia KITI na atarudi kuomba radhi na kukana kuhusika kuamua aliyoamua.

Mungu ibariki TANZANIA.

Mungu mbariki kiongozi wetu.

Mungu Ingilia kati maamuzi ya KITI akaliacho kiongozi wetu, vunja na kuharibu madhabahu itokayo chini gizani Ili maamuzi afanyayo yaendane na matakwa ya waongozwa .

Hatutalipa KISASI, KISASI ni Cha BWANA Mungu.

Amen.
 
Tanganyika ikirejeshwa itaikana DP World kwamba haikuingia nayo mkataba huo bali JMT ndiyo iliingia nayo mkataba hivyo idaiwe JMT. Kwahiyo dawa ni kuifufua Tanganyika kama Rasimu ya kwanza ya Katiba ya Tume ya Jaji Warioba ilivyopendekeza.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Uko sahihi sana. Tuvunje MUUNGANO, basi! as long as wanajeshi by 99% ni watanganyika, hili la kuvunja muungano litafanikiwa maana hakuna mwanajeshi anayependa Tanganyika iuzwe na waarabu wa zanzibar ambao ni descendants wa Oman, UARABUNI
 
Hujaelewa Serikali mpya ni Awamu ingine, haikumaanisha Nchi zikitengana au Jina la Nchi kubadilika.
Hamjui international law. Dola ya Uingereza ilianza 1066 na Mfalme Henry the Conqueror, mpaka leo mikataba yake Sovereign inaeshimika. Ikiingia awamu mpya ikazikataa awamu iliyotangulia itakuwa imeharamisha haki ya vizazi na vizazi, hela madeni mali birth certificates, vyeti vya vyuo, nk. Kama mawazo yenu kutaka kutawala kwa tumehuru pasipo kuchaguliwa yako hivi kumbe tuwakataeni.
 
Hivi chama kama Umoja Party kikishinda uchaguzi na kuunda serikali, si kinaweza kuukataa huo mkataba na kuufutilia mbali?
 
Njia ya KATIBA mpya inawezekana.

Kinaweza kikiitisha kura ya maoni Nchi nzima na ikiwa viongozi wote wahusika wataingia korokoroni Kwa kuthibitika kuhusika RUSHWA katika kusaini mikataba hiyo.

Bt kwetu njia Rahisi ni kukabidhi shamba Kwa walinzi, baada ya muda shamba linarudi Kwa Jina lingine.

Pia njia ya KATIBA mpya ya Warioba itawezekana, lakini ikiwa tutaanza na RASIMU na Si KATIBA pendekezwa.

Sa100 anajua HATOGOMBEA 2025 na wabunge waliopo wanajua hawatorudi, hivyo wana Chukua Chao Mapema(CCcM).
 
Hamjui international law. Dola ya Uingereza ilianza 1066 na Mfalme Henry the Conqueror, mpaka leo mikataba yake Sovereign inaeshimika. Ikiingia awamu mpya ikazikataa awamu iliyotangulia itakuwa imeharamisha haki ya vizazi na vizazi, hela madeni mali birth certificates, vyeti vya vyuo, nk. Kama mawazo yenu kutaka kutawala kwa tumehuru pasipo kuchaguliwa yako hivi kumbe tuwakataeni.
Nadhani siyo lazima UK iwe Tanganyika kama ambavyo imethibitika kupitia mkataba huu kwamba siyo lazima Znz iwe JMT.

Nadhani siyo lazima UK iwe Paradiso kwa nchi zingine.

Nyerere angekuwepo hai mama angeyafanya haya?

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Hivi chama kama Umoja Party kikishinda uchaguzi na kuunda serikali, si kinaweza kuukataa huo mkataba na kuufutilia mbali?
Utawalipa fidia ya thamani ya rasilimali zote za nchi. Hiyo ndiyo imeikumba Djibouti kesi inaendelea. Wanaidai Djibouti fidia ambayo ni zaidi ya thamani ya nchi nzima.

Nyerere angekuwepo CCM wangeyafanya haya?

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Utawalipa fidia ya thamani ya rasilimali zote za nchi. Hiyo ndiyo imeikumba Djibouti kesi inaendelea. Wanaidai Djibouti fidia ambayo ni zaidi ya thamani ya nchi nzima.

Nyerere angekuwepo CCM wangeyafanya haya?

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Labda sisi watatutreat tofauti kwa kuwa viongozi wetu ni ndugu zao wa damu 😂😂
 
Tanganyika ikirejeshwa itaikana DP World kwamba haikuingia nayo mkataba huo bali JMT ndiyo iliingia nayo mkataba hivyo idaiwe JMT. Kwahiyo dawa ni kuifufua Tanganyika kama Rasimu ya kwanza ya Katiba ya Tume ya Jaji Warioba ilivyopendekeza.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Mikataba ipo mingi nchi imeeingia, kwahiyo unashauri hiyo Tanganyika ikatae mmoja tu??
 
Back
Top Bottom