Namna ya kuondokana na DP World

Namna ya kuondokana na DP World

Hivi Kikwete amesema nini kuhusu hili? Au ni dili lake ndiyo maana ameamua kujifanya halioni wala kulisikia?
Mama atamuelewa Magufuli too late. Hakuna rais kwy historia yetu atastaafu kwa fedheha kama huyu, kwa vitendo hivi vya Bandari, KIA, ndege 1 kupelekwa Znz, nyufa za muungano, ripoti ya CAG, BRT kupewa Mwarabu pia, janjajanja ya Katiba Mpya, uchaguzi mbovu 2024 & 2025, kurejesha ukoloni mpya wa Kiarabu Tz.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Hamjui international law. Dola ya Uingereza ilianza 1066 na Mfalme Henry the Conqueror, mpaka leo mikataba yake Sovereign inaeshimika. Ikiingia awamu mpya ikazikataa awamu iliyotangulia itakuwa imeharamisha haki ya vizazi na vizazi, hela madeni mali birth certificates, vyeti vya vyuo, nk. Kama mawazo yenu kutaka kutawala kwa tumehuru pasipo kuchaguliwa yako hivi kumbe tuwakataeni.
Hapana kuna mahali unakosea.

Ukweli ni kwamba mkataba ni kati ya Dubai na JMT.

Hapa kinachozungumzwa ni kuundwa kwa Tanganyika. Tanganyika itabakia kuwa sehemu ya JMT.

Rasilimali zote za Tanganyika, kama yalivyo za Zanzibar, siyo mali ya JMT. Bamdari ya Dar inaangukia kwenye milki ya Tanganyika, siyo ya JMT.

Wakati wa kuundwa Tanganyika, mikataba yote ya JMT itaendelra kuishi kwa kuzingatia sheria zilizounda dola za ndani. Sheria za kuundwa kwa Tanganyika zitaielekeza Serikali ya JMT kuwa mikataba yote ambayo JMT iliingia na yeyote, lakini maeneo yanayoguswa yapo katika dola mojawapo, mikataba hiyo itahuisgwa kwa kushirikiana na dola hizo za ndani, mqekezaji na JMT.

Na Tanganyika itakuwa na kipengere kinachotamka wazi kuwa mkataba wowote ule usio na muda, ni mkataba batili. Na pia itatamka wazi kuwa mikataba yote inayohusu uvunaji au matumizi ya rasilimali asilia itakuwa kati ya dola za ndani, yaani Tanganyika na Zanzibar, na siyo na JMT.

Fuatilia kilichotokea kwenye mikataba iliyotiwa kati ya Sudani na makampuni ya mafuta ya kimataifa, kwa miradi ya mafuta iliyopo Sudan Kusini, ujue kilichotokea baada ya Sudan Kusini kujitenga.

Kisheria, DP haina uwezo wa kuishtaki Tanganyika, itaishtaki JMT. Na mwungano ukifa, kusipokuwa na JMT, haiwezi kuwa na wa kumshtaki. Ndiyo maana makampuni ya kimataifa huwa yanakata bima za makampuni kwa kuhofia mambo kama hayo. Hizo bima ni tofauti na bima za bidhaa.
 
Kwa sasa tupambane mikataba yote iwe na clause za kuweza kuivunja ili wakiondoka, tunaivunja bila kupata hasara kubwa.
 
Tanganyika Movement!✌✌✌
 
Tanganyika ikirejeshwa itaikana DP World kwamba haikuingia nayo mkataba huo bali JMT ndiyo iliingia nayo mkataba hivyo idaiwe JMT. Kwahiyo dawa ni kuifufua Tanganyika kama Rasimu ya kwanza ya Katiba ya Tume ya Jaji Warioba ilivyopendekeza.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Ukiirejesha Tanganyika utagundua kuwa umechemka tu. Matatizo yenye kuhitaji akili kubwa ya kuyatatua yatakuwa pale pale, ni kama suluhisho ni jepesi la kukimbilia kuvunja nchi na hiyo Tanganyika itavunjwa pia.

Ubaguzi ukiuanza wewe ni lazima malipo ya dhambi hiyo yaanze kwanza kukutafuna wewe.
 
Wakazi wa Bandari salama na viunga vyake mnashauriwa kuhama haraka,

Tetemeko, TUFANI na vimbunga vinaelekea uuangusha mji wa badari salama.

Dalili ni mvua kubwa ya June.

Wajinga watachukua hatua, bt werevu watasubiri yatokee.
 
Ukiirejesha Tanganyika utagundua kuwa umechemka tu. Matatizo yenye kuhitaji akili kubwa ya kuyatatua yatakuwa pale pale, ni kama suluhisho ni jepesi la kukimbilia kuvunja nchi na hiyo Tanganyika itavunjwa pia.

Ubaguzi ukiuanza wewe ni lazima malipo ya dhambi hiyo yaanze kwanza kukutafuna wewe.
Kwa hiyo tuendelee kuchekelea Tanzania ikiipora na kuifilisi Tanganyika kwa mwavuli wa muungano? To hell with Muungano
 
Back
Top Bottom