Namna ya kuokoa CHADEMA isife...

Kama wingi wa wabunge ndio kitu cha maana CDM wangeacha yale makapi yaendelee kukaa bungeni. Fikiri kwanini CDM imewafyeka fyeka,nguvu ya CDM sio wabunge ni UMMA.
 
Ni wazi kunahitajika 'maamuzi magumu' ndani ya CDM ili kuiokoa CDM isife katika mapito inayopitia kipindi hiki...!! Kadiri muda unavyotaradadi ndivyo inaonekana dhahiri pumzi zinazidi kukata..! Nini kifanyike ? Toa ushauri wa dhati hapa..!
 
Njia ni moja tu,mbowe na genge lake waachie ngazi chama kishikwe na watu wasafi.Siyo watu walewale tu miaka nenda rudi wapiga pesa tu.
 
CCM ndio inakiua CHADEMA kwa msaada wa Serikali
 
I
Ili CHADEMA isife SERIKALI iache kuipendelea CCM
 
Kitendo cha kumfukuza Zitto, Dr Slaa na mkaamua kumkaribisha fisadi Lowasa nilijua tu Chadema Kharas
Waarabu wanasema
بالإيمان كل شيء ممكن
Ngoja tusubiri tuone kama itawezekana
 
Hakuna democrasia kila mwaka mwenyekiti yule yule na atakae taka cheo hicho ndio msaliti wa chama ataundiwa zengwe mmm nawaona wazalendo zamu yao kushika kijiti cha chadema
 
Mimi ushauri wangu wamwache tu. Chama si chake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…