Msonjo
JF-Expert Member
- Oct 13, 2019
- 1,378
- 2,401
Ni kweli, mwanaume mwenye akili timamu hawezi kumtamani bintiye.Mkuu inaonekana anamjua vizuri mmewe,Haiwezekani mwanaume kamili amtamani bintiye
Ni kweli, mwanaume mwenye akili timamu hawezi kumtamani bintiye.Mkuu inaonekana anamjua vizuri mmewe,Haiwezekani mwanaume kamili amtamani bintiye
😁😁😁😁 hiyo akikwepa huyo ni bikira mariaKuna mbinu 1000 za kumpata mtoto wa kike ambazo hata baba mzazi hatozijuwa..kumpa mwanae..
Kuna wanaume wana mbinu ambazo hujuwi umlinde mkeo au binti..
Mfano …
Mwanaume...mambo cute?
Binti.... Poa..
Mwanaume.......najuwa upo busy mtoto mzr ,,,
plz chukuwa hii 300,000/ shilings ya Bandle baadae tuchat whtsap...
Mbinu hii utaepuka vp Mkuu?
Sio hatari kwa binti pekee hata mkeo anakwenda kuinamishwa..
Ni kuomba Mungu tu mkuu..
Hakuna ujanja.
Ni kuomba MUNGU tu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] hiyo akikwepa huyo ni bikira maria
Mfyuuu mwanaharamu kweli Mimi nimelala na ukoo wenu wote pia.Inaonekana wewe ulikua unafanya mapenzi na babako, basi ndio unaona akina baba wote ni wachafu eti hawawezi kumpa hug binti wake wa kumzaa. Inawezekana hadi leo bado unalala na babako ndio maana huamini kwenye hug la baba kwa binti yake mpendwa.
Bora useme weweSiwezi kumkumbatia binti yangu eti mala nimwambie ana macho au makalio mazuri huo umalaya wa kizungu syo asili yetu , nitamfundisha maadili mema syo huo uasherati pendekezwa
Hamuaminiki kwa tunayo yashuhudia huku mtaani hapanaHahahaha umenifanya nicheke kwa sauti kumbe wanaume hatuaminiki hivyo unaweza kulala ukala kuku na yai lake???
Hata mimi nampenda babangu Ila ctaki mazoea yaliyopita kiasi Ila na wewe mhhhh unafatilia siku za wanao ili iweje mkuu, dahKwa bahati nzuri nina watoto wa kike tupu.Ila nilichojifunza watoto wa kike wana upendo wa dhati ukiwapa upendo nipo nao karibu mno kiasi kwamba hata mabadiliko yao ya kimwili yakitokea huniliza mimi
Usimkataze mwanao kumzoea baba yake kwani unamdhulumu upendo wa baba
Kabisa.Wekeni na Mungu hapo mwisho. Wazee kwenye malezi mkono wa Mungu unahitajika.
Hahahaha! mkuu watoto wangu wapo chini ya miaka 14(hawajavunja ungo),hapo nimemaanisha katika hatua zao za makuzi maswali mengi ambayo walipaswa wamuulize mama yao wananiuliza mimi(nadhani unayajua)Hata mimi nampenda babangu Ila ctaki mazoea yaliyopita kiasi Ila na wewe mhhhh unafatilia siku za wanao ili iweje mkuu, dah
I thought Mambo ya p kumbe bado wadogo Sana hyo sio mbaya.Hahahaha! mkuu watoto wangu wapo chini ya miaka 14(hawajavunja ungo),hapo nimemaanisha katika hatua zao za makuzi maswali mengi ambayo walipaswa wamuulize mama yao wananiuliza mimi(nadhani unayajua)
Lakini hapa nazungumzia upendo wa baba(mzazi) na mtoto ambao mama huwezi zuia ukidhani wewe ni zaidi ya baba.Kumbuka wanaume tuna uchungu na uharibifu wa binti zetu hatari.
AU mkuu una wivu(natania tu)
Nimekuelewa dada yangu,ila mkienda training mje mtuelimishe na sisi mashambani hukuI thought Mambo ya p kumbe bado wadogo Sana hyo sio mbaya.
Mimi Sina wivu Ila nahudhuria hizi training za mambo ya child abuse and sexual sasa indictors nyingi zinazofanyika huwa ni sexual abuse huku tunaona sawa ingekuwa kwa wenzetu jela inakuhusu hata ukichunguza watoto wengi wadogo tayari wamekuwa abused. So I'm so sensitive
KWA dunia ya Sasa unaweza ukawa una mu joke mtu kumbe Hilo ni kosa na case kubwa sie tunao work na people from different culture tushajifunza mengi ambayo huku kwetu ni utani. So we still need to learn hasa ya mambo ya watoto ni kesi kubwa kuliko ya kuuaNimekuelewa dada yangu,ila mkienda training mje mtuelimishe na sisi mashambani huku
Nahisi mtoa mada na yeye anaishi mashambani kama mimi sema mwenzangu kapata fursa kutembelea mjini ndio akaokota na kulileta likiwa na mtazamo wa upande mmoja