jkipaji
JF-Expert Member
- Sep 22, 2019
- 6,955
- 9,439
Kwa hiyo unatuona Wanaume wote hatuna akili Kama huyo Mume wako!? Kwamba hatuwezi hata kutofautisha Damu yako mwenyewe!? Pls tutake radhi! Inamaana na wwe Mama unaweza tembea na mwanao wa kiume anaepevuka!?Aisee Mimi awe baba au muuza ice cream marufuku wanaume hamuaminiki kabisa imagine binti anayebalehe