V Victor 20 Senior Member Joined Aug 14, 2013 Posts 146 Reaction score 15 Feb 26, 2014 #1 msaada wakuu namna ya kumpigia simu rafiki aliyepo USA alinipa namba yake kila nikipiga naambiwa haijulikani
msaada wakuu namna ya kumpigia simu rafiki aliyepo USA alinipa namba yake kila nikipiga naambiwa haijulikani
I island JF-Expert Member Joined Nov 26, 2013 Posts 1,065 Reaction score 837 Feb 26, 2014 #2 Tumia viber kama unayo chek namba yake kama inakuwa detected,, hiyo iko cheap sana sawa na free af sauti imechujwa sana .
Tumia viber kama unayo chek namba yake kama inakuwa detected,, hiyo iko cheap sana sawa na free af sauti imechujwa sana .
V Victor 20 Senior Member Joined Aug 14, 2013 Posts 146 Reaction score 15 Feb 26, 2014 Thread starter #3 sina hiyo viber kaka labda kuna njia nyingine? vipi hizi laini za tigo na vodacom