Namna ya kumkamata mwanaume!!

umenena vyema . sometimes huwa nafikiria kuq kuna baadh ya wanawake ya hawataki kuolewa
 
SOMO ZURI,NATAMANI KUOA MKE MWENYE HIZO SIFA; I call it Wife material.
 
point mkuu, kwangu umekula mia kwa mia! tukianzia mpanilio mzuri wa kuandika mpaka ujumbe wenyewe! Nimetamani kama ungeendele zaidi loh! Ukweli mtupu!
 
kwani rafiki hapa mnazungumza nini na best yangu King'asti?
hata picha nimeshindwa kuangalia, lol!

Rafiki, King'asti mchokozi kweli hebu msome tu taratibu utagundua...hata hivyo, nilikumiss siku mbili tatu hizi hapa natumai hujambo
 
Last edited by a moderator:
Rafiki, King'asti mchokozi kweli hebu msome tu taratibu utagundua...hata hivyo, nilikumiss siku mbili tatu hizi hapa natumai hujambo
mimi mzima kabisa rafiki, hofu kwako........
mwanzo wa mwaka huu si unajua kuna mambo mengi.......
lakini sasa naamini sitapotea sana......
good kusoma kuna watu walikuwa wananimiss.....
 
mimi mzima kabisa rafiki, hofu kwako........
mwanzo wa mwaka huu si unajua kuna mambo mengi.......
lakini sasa naamini sitapotea sana......
good kusoma kuna watu walikuwa wananimiss.....

Yeah ndo ivo Fixed Point. Mwalimu wangu snowhite naye kawa kama mvua za kanda ya kati..very sporadic...
 
Last edited by a moderator:
Yeah ndo ivo Fixed Point. Mwalimu wangu snowhite naye kawa kama mvua za kanda ya kati..very sporadic...
mwalimu wako bado anafanya usajili wa wanafunzi wapya....
si inajua yeye ndo mwalimu mkuu wa darasa la 3c?
akimaliza utamwona hapa full time. ila kama una maagizo waweza yapitishia kwangu
 
Hayo uliyoseama ni ya kweli na yanawafaa akina mama zetu sio hawa digitali
 
Sis, naomba uniazime hiyo roho yako bathi hata kwa siku kadhaa!!!!!!!!!!!!

sis nikikuazima uirudishe fasta kabla mambo hayajaharibika maana utakuwa umeniondolea kinga ya ndoa sikawii kutema big kwa karanga za kuonjeshwa halafu nije nimlee majuto kiroho faaafiiiii.......ntalia!!!!!!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…