Kama ni government office haina shida unahama tu, as long as nafasi ya kazi ilitangazwa kihalali na ukaattend interview zote kihakali,
Ongea na mwajiri wako mpya aandije barua utumishi ya kukuombea uhamisho then aipeleke utumishi! Pale watakuambia ufuatilie majibu after 21days ila uendelee kubaki kituo chako cha kazi cha zaman kwa muda huo! Zikipita 21days anza kufuatilia kwa karibu, itakuchukua zaidi ya mwezi from there to settle everything ila utahama bila shida.
Nishaexperience muajiri wa zaman anagoma kukupa ruhusu ya kuhama ila utumishi watakuhamisha tu! All the best
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.