namna ya kuhama chuo kimoja kwenda kingine kwa upande wa diploma

kokaumba

JF-Expert Member
Sep 12, 2016
398
177
kuna rafiki yangu yupo chuo fulani zanzibari cha nursing anataka ahamie chuo fulani kilichopo Tanga.je kwa utaratibu wa sasa atumie njia gani kuomba uhamisho kwasababu yeye alipata chuo kipindi cha kuomba kupitia CAS.MSAADA PLEASE
 
chukua barua kutoka chuo unachotaka kuhamia then wapelekee chuo unachosoma saiv wakupe prov result then uipeleke nacte ikapitishwe
 
Back
Top Bottom