Ndugu wana Jf, kama kuna mtaalamu wa masuala ya madini ningeomba anisaidie namna ya kujua ardhi yenye madini yafuatayo;
1. Ruby and Saphire
2. Gold
3. Aquamarine
Kama ataweza anambie naweza vp kugundua kuwa ardhi hi ina madini ndan kwa kuangalia feature ya juu ya ardhi pasi na kutumia vipimo.
Utakuwa umesaidia sana ndugu maana huku kwetu karibu kila sehemu kuna madini, hii inatokana na taarifa za kila siku kuona maeneo mbali mbali huku kwetu wakigundua machimbo nasi wenyeji tupo tu. Nipo Mafinga. Natanguliza shukrani kwa uchangiaji wenu.