Enny JF-Expert Member Joined May 26, 2009 Posts 962 Reaction score 131 Feb 9, 2011 #1 Naomba kuelimishwa namna ya kumgongea mtu THANKS kwenye thread yake.
N Nonda JF-Expert Member Joined Nov 30, 2010 Posts 13,358 Reaction score 4,308 Feb 9, 2011 #2 Enny said: Naomba kuelimishwa namna ya kumgongea mtu THANKS kwenye thread yake. Click to expand... Enny, Utaweza kufanya hivyo pale utakapokuwa umelog on kama member wa JF na sio mtupia jicho tu! Ukiwa ume-sign in basi chini ya thread ya mtoa mada utaiona hiyo thanks, basi inabofya tu hako na unakuwa umemgongea huyo mtoa mada thanks.
Enny said: Naomba kuelimishwa namna ya kumgongea mtu THANKS kwenye thread yake. Click to expand... Enny, Utaweza kufanya hivyo pale utakapokuwa umelog on kama member wa JF na sio mtupia jicho tu! Ukiwa ume-sign in basi chini ya thread ya mtoa mada utaiona hiyo thanks, basi inabofya tu hako na unakuwa umemgongea huyo mtoa mada thanks.