gambada ynwa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2014
- 394
- 376
Docs ziwe halaliiii auntndalichako...yaani ukijua docs zakoo huyumama aziafiki usienddeHabari za mwisho wa wiki waungwana?
Naomba anayejua namna ninavyoweza kufika Botswana kutokea Dar anisaidie maelekezo ila isiwe kwa ndege.
Nahitaji kwenda Botswana kujaribu nafasi nyingine ya maisha.
Pia naomba kujua inabidi niwe na documents gani ili niingie kwa njia halali.
Nimeamua hivi kwa sababu Botswana ni nchi ya ndoto yangu tangu nikiwa mdogo. Hivyo nimeona nikajaribu bahati yangu huko.
Nawasilisha
Naomba uambatane na mkeo na watoto halaf uhakikishe madeni yako yote hapa bongo umelipa kabla ya kuondoka.Habari za mwisho wa wiki waungwana?
Naomba anayejua namna ninavyoweza kufika Botswana kutokea Dar anisaidie maelekezo ila isiwe kwa ndege.
Nahitaji kwenda Botswana kujaribu nafasi nyingine ya maisha.
Pia naomba kujua inabidi niwe na documents gani ili niingie kwa njia halali.
Nimeamua hivi kwa sababu Botswana ni nchi ya ndoto yangu tangu nikiwa mdogo. Hivyo nimeona nikajaribu bahati yangu huko.
Nawasilisha
Mi ni mtaalamu wa lugha (linguistics)Una ujuzi gani? Au unataka kufanya kazi gani? Mshahara unaoota ni kiasi gani? Niambie hapa hapa
Sina mke mkuuNaomba uambatane na mkeo na watoto halaf uhakikishe madeni yako yote hapa bongo umelipa kabla ya kuondoka.
Sio dokta ila ni mtaalam wa lughaKama ni doctor nenda,wanahitajika sana
Dk wa mawaharaKama ni doctor nenda,wanahitajika sana
Ulishamfukuza ?Sina mke mkuu
Asante mkuu unaweza jua nauli ya kutoka Dar mpaka huko inaweza kua kiasi gani?Panda mabasi yanayokwenda Tunduma,pale utachukua
mabasi ya Lusaka-Zambia.Lusaka utachukua mabasi yanayoelekea Kazungura boarder.Pale utavuka kwa kivuko kuelekea upande was Botswana,kisha utachukua usafiri wa kukufikisha Gaborone(sina uhakika kama Siku hizi kuna mabasi Lusaka -Gaborone).Luna kipindi mabasi hayo hayakuwepo
Mkuu ukifika nahitaji unipm kwan inawezekana nami nikatimka tz mida siyo ming nahitaj kubadili upepo .ila ninavutiwa Sana na Rwanda kwenda kufanya kazi huko badae niingie kwenye mambo ya biashara lakin sijaridhika bado nahitaj kuijua bostwan a then nipige hesabu zanguAsante mkuu unaweza jua nauli ya kutoka Dar mpaka huko inaweza kua kiasi gani?
Mkuu mi nataka kwenda tu liwalo na liwe. Shida kitu gani na tunaishi mara moja bhanaMkuu ukifika nahitaji unipm kwan inawezekana nami nikatimka tz mida siyo ming nahitaj kubadili upepo .ila ninavutiwa Sana na Rwanda kwenda kufanya kazi huko badae niingie kwenye mambo ya biashara lakin sijaridhika bado nahitaj kuijua bostwan a then nipige hesabu zangu
Asante sana mkuu kumbe i can afford the cost. Ubarikiwe sanaPanda taqwa kutoka dar mpaka lusaka halafu hapo utapanda basi mpaka kazingula border. Pale unavuka kwa kivuko then utapanda basi mpaka Francis town ambao ni mji wa pili kwa ukubwa Botswana. Hapo utapata gari za kwenda Gaborone. Gharama zote fanya kama laki 3 hivi.
kweli ila nadhani safari yako itanisaidia sana.nahitaj kwanza ukanichoree ramaniMkuu mi nataka kwenda tu liwalo na liwe. Shida kitu gani na tunaishi mara moja bhana
Unanifanya chambo sio??[emoji12] [emoji12] [emoji12]Mkuu ulisemalo ni kwel
kweli ila nadhani safari yako itanisaidia sana.nahitaj kwanza ukanichoree ramani