DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,319
- 83,202
Vifo vya Africa ukifatilia vinasababishwa na uzembe na mazingira duni ya hospatili na ajaliNa huu ndio ukweli
Hii ni nzuri piaVifo vya Africa ukifatilia vinasababishwa na uzembe na mazingira duni ya hospatili na ajali
Hata ukiangalia ajali zetu nyingi zinasababishwa na kukosa umakini na poor infrastructures.
Mfano ikiwa Serikali imeona bodaboda ni ajira rasmi kwa Vijana inabidi kuandaa mazingira rafiki .
Mfano tunaweza kutanua kwa pembeni tukaweka njia ya watembea kwa miguu , njia ya boadaboda yaani sehemu yanakopita Magari ikawa tofauti na wanakopita bodaboda.
Unaangalia matokeo, jamaa amejaribu kuangalia chanzo cha tokeo.Mkuu unajaribu kuweka maana kwenye kitu ambacho hakina maana.
Hapa duniani outcome ni moja tuu kwa kila mtu - KIFO!
Ule vitoto vya afu 2 - utakufa
Usile vitoto vya afu 2 - utakufa
Ukate tamaa - utakufa
Usikate tamaa - utakufa
Ufanye unachokipenda - utakufa
Ufanye usichokipenda - utakufa
Uchukie watu - utakufa
Upende watu - utakufa
Uwe mlevi - utakufa
Usiwe mlevi - utakufa
Ufanye mazoezi - utakufa
Usifanye mazoezi - utakufa
Ule wake za watu - utakufa
Usile wake za watu - utakufa
Ufanye kila kitu - utakufa
Usifanye chochote - utakufa..!
Everyone's death is near.
No escape.
Hii ni nzuri pia
Sasa mkuu chanzo kina umuhimu gani kama matokeo ni yale yale? Yaani hata ufanye nini, bado matokeo ni hayo hayo..!Unaangalia matokeo, jamaa amejaribu kuangalia chanzo cha tokeo.
🔥Kwa upande wangu huwa napenda mada kama hizi mtu aandike kwa hoja nzito.
Kweli tupu!!!Mfano bodaboda zikigonga kuna probability ya watu kupona Ila sio bodaboda agongwe na Gari .
Hata ajali ya Mbagala anayosema mtoa mada , wale jamaa waligongwa wakiwa katika ile barabara ya mwendo kasi ambayo ilihusisha boda na V8 .
Kwahiyo tukiacha siasa na kutazama maisha ya vijana itasaidia.
Kuna siku nilimuona graduate wa Ardhi hatembei tena analia tu akipata ajali ya boda akavunjika spinal cord (Uti wa mgongo)
Sasa Kijana kakosa ajira kaamua kuendesha boda anaishia kuwa mlemavu in his lifetime
Bado watu watakaa na kusema huo ni mpango wa Mungu , hajali haina kinga n.k
I believe that safety is not certenity Ila something is wrong.
Unaangalia matokeo, jamaa amejaribu
kuangalia chanzo cha tokeo.
Kifo cha huyo jamaa kimesababishwa na kutodili na chazoSasa mkuu chanzo kina umuhimu gani kama matokeo ni yale yale? Yaani hata ufanye nini, bado matokeo ni hayo hayo..!
Uhai wa mwanadamu mmoja ni wa thamani sana. Kuna vifo vingine visivyo haki vinaweza kuzuilika.Sasa mkuu chanzo kina umuhimu gani kama matokeo ni yale yale? Yaani hata ufanye nini, bado matokeo ni hayo hayo..!
Asante kwa kuweka kitabu master , unavingine zaidi? Hasa riwaya za kiswahili?Nadhani mtoa Mada alikuwa na maana kubwa zaidi....bodaboda ni mfano Tu...
Pitia kitabu hiki:
Mkuu umefanya vizuri na ubarikiwe Ila hiki kitabu imetumika France language .Nadhani mtoa Mada alikuwa na maana kubwa zaidi....bodaboda ni mfano Tu...
Pitia kitabu hiki:
Soon naweka English version,Mkuu umefanya vizuri na ubarikiwe Ila hiki kitabu imetumika France language .
Ikiwa utakuwa na Version ya kiingereza au kiarabu tupatie hapa
Asante .
Dah, title ya kingereza maudhui ya kibena. Nimepoteza mb zangu bureNadhani mtoa Mada alikuwa na maana kubwa zaidi....bodaboda ni mfano Tu...
Pitia kitabu hiki:
Unataka riwaya mkuu?Asante kwa kuweka kitabu master , unavingine zaidi? Hasa riwaya za kiswahili?
Soon naweka English version,
Kipo kwenye format ya Epub inagoma kuwekwa hapa , ngoja nikibadirishe kiwe pdf