Knock life
JF-Expert Member
- Oct 11, 2024
- 2,465
- 7,763
Tunahitaji watu wachache Sana not everybodyNgoja waje
Kwanini sisi waswahili ni wabishi Sana? Mainly if we know nothing about universeSio universe!
Ni msongo na kukosa tumaini kwenye maisha!
Huwezi PATA creativity ya kazi nyingine kama uliyonayo TU imekushinda !!
Kulikua na upepo mbaya ulimpitia na akashindwa ku handle!!
Wala sio universe!
Universe haiwezi ku apply hapo mkuu!!Kwanini sisi waswahili ni wabishi Sana? Mainly if we know nothing about universe
Watakuja subiria tuTunahitaji watu wachache Sana not everybody
Uthibitisho na sio porojo tuKwanini sisi waswahili ni wabishi Sana? Mainly if we know nothing about universe
Wewe umeshakuja na unachangia unataka kina nani wengine waje wakati tayari we umefika?Watakuja subiria tu
Hata wewe pia umeshafika kupitia reply yanguWewe umeshakuja na unachangia unataka kina nani wengine waje wakati tayari we umefika?
Kwa upande wangu huwa napenda mada kama hizi mtu aandike kwa hoja nzito.Miezi miwili Jamaa alipata ajali ya boda boda , aligongwa .
Yeye alikuwa bodaboda , akazimia na aligongwa na bodaboda mwenzake .
Then Juzi Sabasaba Jamaa aligongwa na V8 na akasagwa na roll.
Maana yake alipogongwa na kuzimia he could stepdown na kuanza kuangalia mambo mengine na kuachana na Kazi ya pikipiki.
Huyu jamaa before his death , Kama miaka 7 nyuma alipoteza Umakini akawana anatongoza watoto wadogo ambao hawalingani na age yake.
Kufanya Sana uzinzi .
Kuwa na negativity and so on
So to me that was a universe language , binadamu anaweza kufa spiritually then akaja kufa physically .
Dalili za kufa , huwa zinaambatana na pale unapokuwa blindness , kukata tamaa, kuchukia watu na kuwa destroyers.
So ukiwa unaishi na unafanya usichokipenda katika nafsi yako jaribu kuacha .
Na ukiona umekataa tamaa na ur no longer feeling alive , fahamu tu usipoacha hizo you will die ASAP
Na ukiona ur matured enough but ur chasing , young girls , and ur dominated by lusting thoughts
Just know ur death is near .
Most of people huwa hawajui kumsoma MTU na kujua either his days are numbered or not
Ana sonona au hana
Salute kaka,Miezi miwili Jamaa alipata ajali ya boda boda , aligongwa .

Mkuu unajaribu kuweka maana kwenye kitu ambacho hakina maana.Miezi miwili Jamaa alipata ajali ya boda boda , aligongwa .
Yeye alikuwa bodaboda , akazimia na aligongwa na bodaboda mwenzake .
Then Juzi Sabasaba Jamaa aligongwa na V8 na akasagwa na roll.
Maana yake alipogongwa na kuzimia he could stepdown na kuanza kuangalia mambo mengine na kuachana na Kazi ya pikipiki.
Huyu jamaa before his death , Kama miaka 7 nyuma alipoteza Umakini akawana anatongoza watoto wadogo ambao hawalingani na age yake.
Kufanya Sana uzinzi .
Kuwa na negativity and so on
So to me that was a universe language , binadamu anaweza kufa spiritually then akaja kufa physically .
Dalili za kufa , huwa zinaambatana na pale unapokuwa blindness , kukata tamaa, kuchukia watu na kuwa destroyers.
So ukiwa unaishi na unafanya usichokipenda katika nafsi yako jaribu kuacha .
Na ukiona umekataa tamaa na ur no longer feeling alive , fahamu tu usipoacha hizo you will die ASAP
Na ukiona ur matured enough but ur chasing , young girls , and ur dominated by lusting thoughts
Just know ur death is near .
Most of people huwa hawajui kumsoma MTU na kujua either his days are numbered or not
Ana sonona au hana
Kweli kabisa huwezi kucheat Kifo.Mkuu unajaribu kuweka maana kwenye kitu ambacho hakina maana.
Hapa duniani outcome ni moja tuu kwa kila mtu - KIFO!
Ule vitoto vya afu 2 - utakufa
Usile vitoto vya afu 2 - utakufa
Ukate tamaa - utakufa
Usikate tamaa - utakufa
Ufanye unachokipenda - utakufa
Ufanye usichokipenda - utakufa
Uchukie watu - utakufa
Upende watu - utakufa
Uwe mlevi - utakufa
Usiwe mlevi - utakufa
Ufanye mazoezi - utakufa
Usifanye mazoezi - utakufa
Ule wake za watu - utakufa
Usile wake za watu - utakufa
Ufanye kila kitu - utakufa
Usifanye chochote - utakufa..!
Everyone's death is near.
No escape.
Na huu ndio ukweliMkuu unajaribu kuweka maana kwenye kitu ambacho hakina maana.