mifumo ya solar iko bei chini sana sioni sababu ya watu kuibiwa na hizi kampuni za mobisol, mkopa nk,. wamewafungia wengi sana lakini wengi wao tena wameshindwa kulipia. ushauri wangu kanunue mfumo wako kulingana na mahitaji yako maana bei ya solar sasa hivi hata maskini anamudu