Hehehehe pamoja wakuu, nimejikuta nacheka tu..safi sana Bulldog,
FYI: inabidi niwakaribishe siku moja huku kigamboni tuna umoja wetu wa watu takriban 40 na huwa tunaandaa wenyewe (wanaume) kila kitu from kachumbari mpyaka ku foil na kuchoma nyama samaki mishikaki basi ni raha ajabu kukuta akina baba wako busy na visu, same time bia mkononi yaan kata mti panda mti, so lovely guys! Tunafanya kila mwezi
Safi kabisa kui, ila hizi terminology za upishi zinanipa shida, lettuce ndo nini ndugu yangu
Safi kabisa kui, ila hizi terminology za upishi zinanipa shida, lettuce ndo nini ndugu yangu
tunaandaa wenyewe (wanaume) kila kitu from kachumbari mpaka ku foil
Yaani nimeangalia hizo picha nikajiuliza huyu ni mwanaume ama? Kachumbari nzuri sana hiyo. Sasa hilo bakuli ndio limenikata stimu. Aisee, ukinipa chakula kitamu kwenye sahani mbaya ya plastic utamu wote unapotea! Hebu muibie mchuchu bakuli banaa, aaaghh
Hehehehe pamoja wakuu, nimejikuta nacheka tu..safi sana Bulldog,
FYI: inabidi niwakaribishe siku moja huku kigamboni tuna umoja wetu wa watu takriban 40 na huwa tunaandaa wenyewe (wanaume) kila kitu from kachumbari mpaka ku foil na kuchoma nyama samaki mishikaki basi ni raha ajabu kukuta akina baba wako busy na visu, same time bia mkononi yaan kata mti panda mti, so lovely guys! Tunafanya kila mwezi
Nilifikiri niko peke yangu nikiyekatwa stimu na beseni.Yaani nimeangalia hizo picha nikajiuliza huyu ni mwanaume ama? Kachumbari nzuri sana hiyo. Sasa hilo bakuli ndio limenikata stimu. Aisee, ukinipa chakula kitamu kwenye sahani mbaya ya plastic utamu wote unapotea! Hebu muibie mchuchu bakuli banaa, aaaghh
Unamfundisha wizi ati aibe bakuli kwa mchuchu....
Itabidi wachange tu wanunue bakuli la udongo.....
Nilifikiri niko peke yangu nikiyekatwa stimu na beseni.
Ila naanza kujiogopa kama nimekuwa picky kama wewe, basi ninapoelekea sio. Lol
Hahaha mi naomba niwaalike mwisho wa mwez huu, nianze na king'ast ili aje na bakuri lenye mvuto hahaha.
Kimsingi huwa vyombo vinabaki shamba ndo maana hatutaki kuingia gharama maana mara nyingi ukirudi hukuti kitu au unapewa story ndeeeeefu na wafanyakazi wa shamba...taabu sana aisee
Yaani nimeangalia hizo picha nikajiuliza huyu ni mwanaume ama? Kachumbari nzuri sana hiyo. Sasa hilo bakuli ndio limenikata stimu. Aisee, ukinipa chakula kitamu kwenye sahani mbaya ya plastic utamu wote unapotea! Hebu muibie mchuchu bakuli banaa, aaaghh
Umesema kweli....niliona hilo kabla ya salad ila ilibidi nimezee tu kwa vile ni mkaka.....lol