Namna ya kuandaa maabara yako kwaajili ya kufanya majaribio ya udukuzi

rootadmin

JF-Expert Member
Feb 5, 2018
349
242
Leo tunaenda kuangalia jinsi ya kutengeneza maabara yako binafsi kwajili ya majaribio ya kufanyia udukuzi..

Kama inavyo fahamika kuwa maabara ni sehemu maalumu ambayo tafiti mbali mbali hufanyika.

Katika maabara ya mdukuzi yoyote yule lazima vitu vifuatavyo viwepo

1) Vifaa -
Vifaa vimegawanyika katika makundi mawili kuna vifaa physical na vifaa vya software.
vifaa physical ni kama Computer, Wifi Router, Lan cables, Honeypots,Raspberry PI, mini pc, simu (smart) etc.

Tukija katika vifaa vya software ni kama Operating system kama Kali linux,Backbox linux, Parrot, Backtrack os (BT5), windows XP or Seven32 bit nitaeleza kwanini nimetumia windows xp na seven 32 BIT,

Nimetumia window XP na Seven 32 bit kwakuwa kuna baadhi ya programs za kufanyia maandalizi ya kudukulia ni lazima uwe na hiyo windows Programs kama za Fuzzbunch, Denderspritz etc hizi ni lazima uwe na windows environment.

Pia kupitia windows utakuwa huna haja ya kuwa na computer nyingi kwa wakati mmoja kwani unweza ukainstall os hizo kupitia Virtual box(Oracle,Corpal virtualbox).

.......ITAENDELEA
 
Kalinux ni noma nimeitumia sana nikiwa nasoma bangarole, mwalimu wangu aliingia hadi kwenye sever za ofisini kwetu makao makuu dar. Nikahisi mwili wote wa baridi. Akaniambia dont try this.
Kali ni mwisho wa matatizo jini
 
Kalinux ni noma nimeitumia sana nikiwa nasoma bangarole, mwalimu wangu aliingia hadi kwenye sever za ofisini kwetu makao makuu dar. Nikahisi mwili wote wa baridi. Akaniambia dont try this.
Mfano unanielekeza mm hicho kidude n app au software au n window
 
Back
Top Bottom