Habari zenu wanajamvi.
Hivi karibuni nilinunua kutoka katika Vodashop aina hii ya modem (K3772-Z) lakini kwa bahati mbaya eneo ninaloishi mtandao wa Vodacom hauko vizuri kwenye Internet. Ikiconnect inakimbia kama konokono. Inaonekana Airtel speed yake ni nzuri na kwa hiyo inabidi niifanyie utundu modem hii ili niweze kutumia line ya Airtel.
Ukweli ni kuwa nimetumia siku kadhaa kutandaa huku na huku bila mafanikio. Najua hapa jf ni kiboko ya yote na sipo peke yangu mwenye aina hii ya modem na tatizo hili. Naomba msaada wenu wakuu namna ya kui-unlock/flash aina hii ya modem.

KARIBU
- Pata option zingine hapa: DATACARD UNLOCKING: Free Unlocking Tips for Vodafone ZTE K3770-Z and ZTE K3772-Z Modem
wakuu hakuna aliyepata namna ya ku-unlock hii vodafone K3772-Z
Solution ni JoinAir kazi kwisha
Nadhani hiyo modem itakuwa ni zte Icera kama hii yangu hambayo haikubali kwa join air.Solution ni JoinAir kazi kwisha
Nadhani hiyo modem itakuwa ni zte Icera kama hii yangu hambayo haikubali kwa join air.
Mtoa mada atafute O2 connection Manager ndo itakubali kusoma line zote.
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Ni kwelii mkuu niliyo nayo ni ya zte icera Kama una link inapotatika hiyo o2 connection manager nomba uitupie hapa
Maana gharama ya kui unlock kutumia DC unlocker ni sawa na bei ya kununua modem Mpya.

Mwenyewe nilifanikiwa kuunlock ya Airtel ZTE kutumia DC Unlocker. Sasa inapiga mzigo safi kabisa! Ni free!

kama bado inakudai pass jaribu na hii https://files.dc-unlocker.com/backend/r.php/public/BEB85648500940BAB2E3BA4C73247022 kuondoa huo udhia then kanyaga O2Dc unlocker inayotumika ku unlock modem ya Airtel wame i crack ila hii inayotumika ku unlock k3772-z haija chakachuliwa so for now inabidi ulipie
mkuu unamaanisha nikidownload JOIN AIR DASHBOARD inapiga kazi mitandao yote?Modem zote za Vodacom kutoka ZTE ziko unlocked firmware zaidi zinayo Custimized dashboard ambayo haiwez kusoma line tofauti na Vodacom
Solution ni kuinstall JOIN AIR DASHBOARD
Good day
vipi kuhusu huawei za tigo? huawei e303 na e303s-1KARIBU