Namna ya ku re-apply chuo cha SUA

Jiwe kuu01

JF-Expert Member
Jul 30, 2020
228
86
Habari wana JF,

Naomba msaada kwa yeyote anaye faham namna ya ku reapply katika chuo cha SUA maana nimehangaita toka Asubuhi had muda huu Sijafanikiwa.

Msaada wenu wakuu
 
Mkuu, hiki kipengele cha Sponsor baada ya kujaza AVN mbona sipaelewi.. Naona machaguo ni mengi tu Aseeh
Naona kuna :- Heslb
Na majina mengi ya vyuo na taasisi kibao, inaonesha unachagua kati ya hizi zilizoorodhesha na wala hujazi taarifa yakobfrom nowhere ILA kikubwa sipaelewi
 
Chagua HESLB
 
Back
Top Bottom