Matangazo hayo kama ni hard copy inahitajika uielewe Adobe photoshop japo pia kuna software zingine lakin hii Ndo inatumika kwan unaweza kufanya chochote ukitakacho ukiwa ndan ya program hii katika editing za picha na matangazo, lakin sasa sio kazi ya siku moja eti ufaham na kudesign matangazo No yan mpaka unaona mtu medesign matangazo amejifunza sana tena kwa mda na akajua vitu ving, Kwahiyo ipate programs hiyo anza tutorials youtube tena uanze na Photoshop for beginners tutorials hapo ujifunze kila siku mwishowe untajua tuu, na kwa upande wa animations na motion graphics inatakiwa After effects pia ujifunze vya kutosha uelewe angalau basic knowledge, Kwa hiyo huo ndo msaada wangu mkuu kwako.