Namna ya ku crack Apps

Namna ya ku crack Apps

Wakuu habari, naomba mwenye ujuzi wa ku crack applications anisaidie process zake,
Maana nimejaribu mara kadhaa nakua nafail
Ahsante.

Sent using Jamii Forums mobile app
program / apps zimetengenezwa kwa languages zao, swali lako ni kama mtu anaeuliza namna ya kutunga misemo yake, inabidi uelewe kwanza kugha kablatunga misemo yako, cha muhimu jifunze vitu basic vya programming languages na pia ujue program inafenyeje kazi ndio utaweza kupata mwanga wa jinsi ya kucrack, kuna software kama olly debugger kwa pc na lucky patcher zinafanya zoezi liwe rahisi kwa baadhi ya apps
 
Shukrani sana mkuu nimekuelewa zaidi, sema nimejaribu kutumia lucky patcher inafika sehemu inazingua nakuandika network proble ingawa net ipo strong mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shukrani sana mkuu nimekuelewa zaidi, sema nimejaribu kutumia lucky patcher inafika sehemu inazingua nakuandika network proble ingawa net ipo strong mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaotengeneza apps hawapendi app zao ziwe cracked kirahisi, Nao huwa wanajaribu kuzicrack kwa lucky patcher na wakiona zinaweza kuwa cracked wanaongeza ulinzi na ndio maana unapata hizo error, Hio ni app gani kwani??
 
Tumia lucky patcher au freedom,,,, huwa natumia mara moja moja kama sina namna, ila kama app ina in-purchase ya google tu, na sim iwe rooted....
 
Kamanda, go for shareware, watu wanatumia akili na muda wao kutengeneza hivi vitu, wewe unataka uvipate bure? hapana.
 
Wakuu habari, naomba mwenye ujuzi wa ku crack applications anisaidie process zake,
Maana nimejaribu mara kadhaa nakua nafail
Ahsante.

Sent using Jamii Forums mobile app
apps zinatofautiana katika security zilivyowekwa na developer
sidhani kama kuna elimu ya kucrack kila app
Chamsingi wewe ungetaja app unayotaka kuicrack na umeshindwa ili usaidiwe hapa jukwaani
 
Kamanda, go for shareware, watu wanatumia akili na muda wao kutengeneza hivi vitu, wewe unataka uvipate bure? hapana.
Hapo kweny hapana weka ndiyo.
Km imewezekana ww kutumia jina na picha ya RIO MYSTERIO, crack inawezakana mkuu. Crack ni mpango mzima.
 
hahahaha, huyu ndiye mwenyewe rey mysterio, sio copy, sipendi ku-crack kwa sababu hivi vi-application vya bure vinakuwa na virus au malware wengi
 
Back
Top Bottom