Ukitaka kucopy page una press Alt+Print screen halafu unapaste unapotaka ila unaweza ku edit na kuikata kutegemea na kiapande unacho kitaka. Kwa nini nakwambia hivyo? Nakwambia hivyo kwa sababu short cut key hii hucopy kila kitu kama kinavyoonekana katika screen yako
mimi najua hiyo shortcut ya alt+prntscrn..pia huwa natumia prntscrn peke yake kupiga picha screen yangu na inakubali ninapoipaste kwenye documents kama MS Word document lakini nimejaribu kitu hiko leo kucapture screen na kuipaste kwenye post hapa ikakataaa kabisaaaaaaa..nilichofanya nikaiweka kwenye ms.word alafu nikasave then nikaattach kama pdf file...sasa kaka hebu elezea vizuri sababu mimi yamenikuta haya