Tuwekee ya TZData hazidanganyi, watu ndio wanadanganya
Tena mchana kweupe.
JImbo la Uttar Pradesh nchini India lina watu takribani 240 milioni.
Asilimia 5.8 tu ya watu wote wamepata dozi kamili
Marekani ina watu takribani milioni 330.
Asilimia 54 ya watu wote wamepata dozi kamili - yaani zaidi ya nusu.
LAKINI
Uttar Pradesh imetangazwa kuwa iko free toka kwenye ugonjwa huu (tazama grafu hapo juu ni ya hadi juzi tu tar 17/9).
Ilhali Marekani bado inahangaika nao.
NINI TOFAUTI
NINI MAANA YAKE?
- Uttar Pradesh wametoa SANA dawa ya Ivermectin kwa watu wao.
- Marekani wanadanganya watu wao kuwa Ivermectin sio dawa ya hiki kirusi. (Na hata dunia nzima imedanganywa hivyo)
MASWALI
- Sio kweli kwamba kirusi hiki hakina dawa.
- Hii sindano lengo lake sio kuleta afya.
- Usipojiokoa mwenyewe, huna wa kumlaumu
……………..
- Kama dawa ipo, kwa nini wamekalia sindano, sindano?
- Kama hili wameficha, ni mangapi mengine wameficha?
- Kwa kuwa inaonekana afya sio lengo, lengo lao ni nini?
SOURCE:
India State Of 241 MILLION People Declared COVID-Free After Government Promotes Ivermectin
Hiyo ni sehemu muhimu. Lakini cha muhimu zaidi ni kubaini kilicho nyuma ya zoezi zima hili. Unaweza kukuta hata hayo nayo sio priority.cha muhimu kujitoa tu ufahamu na kujilipuaa kwa kula malimao/ndizi/nyanya chungu/ bamia/maji moto/mchai chai/ hahahaaa (use God pharmacy)
Hata Mwendazke alitangaza Tanzania ni free from corona. Akapewa na kombe na viongozi wa dini. Lakini baadae walifariki watu wengi tu na yeye akiwa mmoja wapo.Data hazidanganyi, watu ndio wanadanganya
Tena mchana kweupe.
JImbo la Uttar Pradesh nchini India lina watu takribani 240 milioni.
Asilimia 5.8 tu ya watu wote wamepata dozi kamili
Marekani ina watu takribani milioni 330.
Asilimia 54 ya watu wote wamepata dozi kamili - yaani zaidi ya nusu.
LAKINI
Uttar Pradesh imetangazwa kuwa iko free toka kwenye ugonjwa huu (tazama grafu hapo juu ni ya hadi juzi tu tar 17/9).
Ilhali Marekani bado inahangaika nao.
NINI TOFAUTI
NINI MAANA YAKE?
- Uttar Pradesh wametoa SANA dawa ya Ivermectin kwa watu wao.
- Marekani wanadanganya watu wao kuwa Ivermectin sio dawa ya hiki kirusi. (Na hata dunia nzima imedanganywa hivyo)
MASWALI
- Sio kweli kwamba kirusi hiki hakina dawa.
- Hii sindano lengo lake sio kuleta afya.
- Usipojiokoa mwenyewe, huna wa kumlaumu
……………..
- Kama dawa ipo, kwa nini wamekalia sindano, sindano?
- Kama hili wameficha, ni mangapi mengine wameficha?
- Kwa kuwa inaonekana afya sio lengo, lengo lao ni nini?
SOURCE:
India State Of 241 MILLION People Declared COVID-Free After Government Promotes Ivermectin
That is it.Ishu sio sindano.
Ishu ni kwamba vaccine ni big business kwa leading pharmaceutical companies. Vaccine imekua biashara kama ilivyo vita. Vita ni biashara pia. Hivyo basi tunafanyiwa biashara kwa njia yaa mkopo wa vaccine. Tumepewa juzi ma Trilion na tutayalipa kwa riba.
Read the book Dead Aid by Dambisa Moyo.