Namna mchezo wa ku-Bet unavyofanana na Matumizi ya Madawa ya Kulevya

chinchilla coat

JF-Expert Member
May 16, 2016
5,107
10,968
Madawa ya kulevya ni addictive kwa sababu mtumiaji anapotumia kwa mara ya kwanza kuna raha kubwa anaipata anapoyatumia kwa mara ya kwanza

Baada ya kuipata hii raha basi atajaribu kutumia tena madawa haya kuitafuta ile raha aliyokuwa ameipata mwanzo..lakini huwa haipati raha kama ya mwanzo, na inampelekea kuongeza kiasi cha dozi kila mara akijaribu kuitafuta na kuirudia rudia hadi anaharibikiwa kabisa

Kwenye ku bet sasa..
kutokana na kuwa na marafiki wa kiume wanao bet nime observe kubet nako ni sawa na matumizi ya narcos tu.

Kubet na kwenyewe kunaleta furaha kubwa sana endapo yule anaye bet atafanikiwa kupatia utabiri wake na kushinda fedha nyingi

Ule mshawasha wa kusubiria matokea na kisha utabiri wako kutimia kunaleta excitement kubwa kwa mcheza kamari

Sasa mcheza kamari anaposhinda hupata furaha kubwa na pia kujiamini kuwa yeye ni mtaalamu kwenye kubashiri

Kwa hiyo ataendelea kucheza kamari kwa sababu ya furaha ya kupata pesa za bure kutoja kwenye mchezo anaoupenda na kujiamini ni mtaalamu

Na kwa kuwa mchezo wa kamari upo based kwenye kanuni za probability ambazo zinampa nafasi kwa mchezaji na mwenye kampuni nafasi za kushindaa lakini chances za mcheza kamari kushinda always zinakuwa ni ndogo kuliko za kampuni...yaani hazipo 50%/50%, ni lazima mchezaji ataumia tu in the long run

Na kwa kuwa saikolojia yake ishaathirika yeye anajua atashinda kesho kama akikosa leo kwa kuwa keshashinda mwanzo

atacheza atashindwa ila hata akimaliza fedha yake atakopa ili airudishe fedha yake aliyopoteza

so atashinda na kushindwa (lakini atashindwa mara nyingi zaidi kwa kuwa odds always zinakuwa favourable kwa betting company)

so mwisho wake atauza hata mali zake kupata fedha ya kamari kama hana self control na ku realise kuwa yeye ni ndiye loser kwenye huu mchezo

Yep, mechanism yake ni sawa kwenye ubongo, ukipata mtu ambaye ni addicted na betting utamwonea huruma. Cheki Gambling addiction triggers the same brain areas as drug and alcohol cravings
=============

Hoja hii imetumika katika JamiiLeo
 
Naomba uheshimu kazi za watu wengine kama wanavyokuheshimu. Hauwezi kufananisha kubet na kula unga,mtu mwenye akili timamu hawezi kufananisha hivi vitu.
Na kubet mtu hapati pesa za bure,anatumia akili. Heshimu kazi za watu wengine.
Vyote ni addictive na havina mwisho mzuri kwa mtumiaji...labda ushinde mara moja kisha uachane nao kabisa, kitu ambacho ni kigumu
 
sidhani kazi nyingine wanazalisha bidhaa au kutoa huduma na huku wakilipa kodi, kubet hazalishi wala kutoa huduma kwa yeyote, hiyo ni starehe yenye mwisho mbaya
5ca38e70b37ddbe357b109ccfa1db9a3.jpg
 
Madawa ya kulevya ni addictive kwa sababu mtumiaji anapotumia kwa mara ya kwanza kuna raha kubwa anaipata anapoyatumia kwa mara ya kwanza

Baada ya kuipata hii raha basi atajaribu kutumia tena madawa haya kuitafuta ile raha aliyokuwa ameipata mwanzo..lakini huwa haipati raha kama ya mwanzo, na inampelekea kuongeza kiasi cha dozi kila mara akijaribu kuitafuta na kuirudia rudia hadi anaharibikiwa kabisa

Kwenye ku bet sasa..
kutokana na kuwa na marafiki wa kiume wanao bet nime observe kubet nako ni sawa na matumizi ya narcos tu

Kubet na kwenyewe kunaleta furaha kubwa sana endapo yule anaye bet atafanikiwa kupatia utabiri wake na kushinda fedha nyingi

Ule mshawasha wa kusubiria matokea na kisha utabiri wako kutimia kunaleta excitement kubwa kwa mcheza kamari

Sasa mcheza kamari anaposhinda hupata furaha kubwa na pia kujiamini kuwa yeye ni mtaalamu kwenye kubashiri

Kwa hiyo ataendelea kucheza kamari kwa sababu ya furaha ya kupata pesa za bure kutoja kwenye mchezo anaoupenda na kujiamini ni mtaalamu

Na kwa kuwa mchezo wa kamari upo based kwenye kanuni za probability ambazo zinampa nafasi kwa mchezaji na mwenye kampuni nafasi za kushindaa lakini chances za mcheza kamari kushinda always zinakuwa ni ndogo kuliko za kampuni...yaani hazipo 50%/50%, ni lazima mchezaji ataumia tu in the long run

Na kwa kuwa saikolojia yake ishaathirika yeye anajua atashinda kesho kama akikosa leo kwa kuwa keshashinda mwanzo

atacheza atashindwa ila hata akimaliza fedha yake atakopa ili airudishe fedha yake aliyopoteza

so atashinda na kushindwa (lakini atashindwa mara nyingi zaidi kwa kuwa odds always zinakuwa favourable kwa betting company)

so mwisho wake atauza hata mali zake kupata fedha ya kamari kama hana self control na ku realise kuwa yeye ni ndiye loser kwenye huu mchezo
nataka unijibu kati ya bet na poda kipi kilianza ulimwenguni na nitatoa maelezo baadae ukinipa jibu
 
huu ni uongo ulio uchi.....
 
sidhani kazi nyingine wanazalisha bidhaa au kutoa huduma na huku wakilipa kodi, kubet hazalishi wala kutoa huduma kwa yeyote, hiyo ni starehe yenye mwisho mbaya
mkuu,

kubeti ni kazi kama kazi zingine tena ipo kihalali zaid,

wale wenye makampuni kwa ajili ya ku-bet wamesajiliwa na wanalipa kodi kama kawaida

kubeti unatumia akili nyingi zaid tofauti na na unavyofikiria ,

Anyway sijawahi kubeti ila nafikiria kuanza
 
sikushauri
 
Back
Top Bottom