Namna mbalimbali za jinsi ya kutumia rice cooker

.ulikuja kufanikisha au ulighair

πŸ…ΌπŸ…ΈπŸ…»πŸ…ΈπŸ†ƒπŸ†πŸ†ˆ πŸ…ΆπŸ…΄πŸ…½πŸ…ΈπŸ†„πŸ†‚
Nlifanikisha Mkuu...umetoka poa kabisa na nimebakisha kiporo...leo mchana namalizia,asubuhi nilidokoa finyango kadhaa nikashushia na kahawa..hapa niko swafiiii:D
 
Hivi hiyo ya kwenye picha ipoje?huwa siielewagi......ni umeme tu?effectiveness yake ikoje katika matumizi?
Hiyo kitu ni hatari sana,unainjika maharage yakiiva unaosha sufuria unaweka wali....
 
Mkuu kwa maduka ya vyombo nayoyajua labda kama wameeanza kipindi hiki kuleta mipira. Mm tangu nazaliwa namkuta baba na mama wanatumia presha coocker. Baba alikuwa analalamika sana kwenye kununua mpira hasa pale presha coocker linapokuwa limetumika muda mrefu. Na mm nilipoanza kujitegemea nilienda kuishi dar. Nilikuwa nataufuta sana mpira wa presha coocker hapo mitaa ya kariakoo kwenye maduka makubwa ya vyombo kama sijakosea ni mtaa LIVINGSTONE sema nimesahau maana ni muda sana tangu niondoke hilo jiji la lawama.
Livingstone wanauza vyombo vya mtumba?
 
Unaweza kupika/kuchemshia chakula kingine kipi pasipo kuifanyia uharibifu?
Nimepikia sana rice cooker hostel, Pika sana makande Tena nilikua napika maximum Mara mbili kwa wiki, wali, maharage, maandazi, chips, ugali, vegetables zote, nyama, pilau, uji na mazagazaga mengine.

Ili uweze kupika maandazi au ugali unaweka kikaratasi chembamba unachomeka chini ya kile kiswitch Cha cook ili rice cooker isijifyatue kutoka cook kwenda warm, so ukiweka kikaratasi utapika kitu chochote na hakitajifyatua. Tumepika Kila kitu kwa rice cooker
 
Nimepikia sana rice cooker hostel, Pika sana makande Tena nilikua napika maximum Mara mbili kwa wiki, wali, maharage, maandazi, chips, ugali, vegetables zote, nyama, pilau, uji na mazagazaga mengine. Ili uweze kupika maandazi au ugali unaweka kikaratasi chembamba unachomeka chini ya kile kiswitch Cha cook ili rice cooker isijifyatue kutoka cook kwenda warm, so ukiweka kikaratasi utapika kitu chochote na hakitajifyatua. Tumepika Kila kitu kwa rice cooker

We umenikumbusha mbali kuna wajamaa wa kigoma walikuwa wanakaa hosteli sasa kila wakianza kupka lazima umeme ujizime yani.

Yani walikuwa wanaingua balaaaa na rice cooker yao.

Hawakuwa na haya maarifa
 
eeeeehh..asanteeee
 
We umenikumbusha mbali kuna wajamaa wa kigoma walikuwa wanakaa hosteli sasa kila wakianza kupka lazima umeme ujizime yani.

Yani walikuwa wanaingua balaaaa na rice cooker yao.

Hawakuwa na haya maarifa
Mimi nilikua napika mabibo hostel block F hapajizimi umeme, block za undergraduate ukiwasha tuu rice cooker main switch inajizima au baadhi ya vyumba umeme unakata but block F kwa postgraduate hata Kila mtu akiwasha jiko la umeme au rice cooker umeme hausumbui
 
Yani umesema sawwa ilikuwa block D
 
Back
Top Bottom