Namna majina yetu yanavyotuhukumu na kubeba hatima zetu maishani

Mwenye kuamini biblia inasema,
Jinsi jina la mtu lilivyo ndivyo na yeye alivyo 1Samweli25:25
Chagua jina zuri!
 
Ndio maana mnaona ujanja miaka hii kuwapa watoto majina ya washiriki mnaowaona kwenye movie na series za Western countries mkiamini yatawaletea mafanikio.

Poor Africans
 
Roma ya kale walikuwa na msemo wao maarufu wa “nomen est omen” ,or “name is destiny”. Ukimaanisha kwa kiswahili "jina lako na hatma yako" kwa ujumla ikimaanisha kwamba jina lako linaweza kuamua mustakabali wa maisha yako aidha yawe mazuri au mabaya? Kwa kifupi jina lako laweza kukuhukumu.

Hivi Karibuni kulizuka wimbi la watu kutafuta majina ya watoto wao JF nimeona nishare kidogo hiki kuhusu majina ya watoto na hatma zao maishani.

Kimsimgi najua wengi tunafahamu na tulishawaona watu kibao wakiwa na majina yanayowahukumu maishani mwao lakini hatujui chanzo ni nini...ili uyajue haya lazma ufahamu kwamba binadamu sisi sio mwili pekee bali ni energy (nishati) huu ni ukweli mchungu na ukitaka kuamini sisi ni energy, chaji, nguvu ya nishati ya ndani mshike mtu akiwa ametengana na roho yaani kafariki, utagundua mtu huyo ni wa baridi na kile kilichomo ndani yaani energy (roho) kinakuwa kimetoka hivyo tukubaliane kwanza sisi mbali ya huu mwili wa nyama bali tuna mwili wa rohoni ambao ndio kila kitu..na Kwa sababu ni energy basi haufi wala hauishi maana energy ina nature moja nzuri "it can neither be created nor destroyed it can only be transferred" proven by Albert Einstein. ndio maana hata mungu hawezi kufa maana anaishi rohoni pekee tofauti na sisi wenye mwili huu wa nyama ambao hata dini zote zinakiri kwamba mwili huu ni dhaifu bali roho iko radhi kufanya lolote bila kushindwa na sisi binadamu wengi tuko limited maana tuna illusions ya mwili...ila miongoni mwa binadamu wanaotake advantage kwenye power of spirit ni wachawi anaweza kuingia ndani mwako ukiwa umefunga milango na madirisha...kimwili hawezi hata kuthubutu but kiroho ni simple sana. Hata kuroga anaroga kwa maneno na manuizi pekee...hata uwe New York yeye awe sumbwanga atakupiga tu fusho na mwili utapata effects tu...maana anatumia advantage ya vibrations and energy kufikisha mambo yake kwako easily.

Hata Laana zinatoka kwa mfumo huu ni maneno tu yanamoves kwenye universal vibrations then umeisha...kwa hiyo tu jifunze kuwapa watoto wetu majina mazuri yenye tija kama tunawapenda kweli unless tutakuwa tunawaroga sisi wenyewe kwa Yale majina mabaya tunaowapa.

Quantum physics imethibitisha bila lepe kwamba kila kitu katika hii dunia chenye uzito kwa maana ya maada(Mass) yeyote ile inamoves in a "constant vibrations" na ina energy ndani yake.

Sasa kwa mtu akipewa jina baya na akaanza kuitwa hilo jina inamaanisha zile vibrations zinatoka mdomoni kwa mtu anaemuita zinamoves moja kwa moja hadi rohoni kwa anaeitwa na kureflect kisha kuonekana mwilini...sasa kaka ni blessing name...litakuja na blessing kama ndio Yale majina ya Thida, Matatizo, Majuto, Tabu, Mtumwa e.t.c hutoa hicho hicho kilichoitwa. Na ikiwa mhusika anaitwa Butogwa(Upendo), David, Jerry, Tummogele e.t.c itatoa utamu ule ule ulioitwa.

Ndio maana hata ulaya wana methali yao inasema "give a dog a bad name and it will live it up to" mpe mbwa jina baya na ataishi hivyo hivyo kufuata hilo jina lake.

Hivi Tanzania tangia ipate Uhuru kuna Mbunge, Waziri, CEO, Giant businessman anaeitwa Shida, Matatizo, Masumbuko, Tabu, Majuto, Sikujua? Kama yupo ningependa nimjue wakuu? I'm just curious?
kweli yule asha ndala ndefu na aisha chupi kubwa ndio wanao ongoza mtaani kutuhudumia ugumu
 
Majina ni mbwebwe tu ni kutafuta wakum laumu, huko usukumani kuna mtu ni ndugu yangu anaitwa mateso ana hela ukoo mzima shida zote ana pelekewa yeye, kuna huyu mahangaiko cha moto anakiona. Na kuna baraka Huyu ni mlevi mbwaaa angekuwa DSM kwa jinsi anavyo angusha gari wange kuwa washa mna niii. Tusitafute lawama jamani tuwape watoto majina yetu ya asili na kizalendo, hakuna mchawi usimsikilize mchungaji au shekhe anae taka ubadili jina kwa sababu yoyote ile
 
Back
Top Bottom