E El Manamber New Member Joined Jan 29, 2025 Posts 1 Reaction score 1 Dec 20, 2025 #1 Habari za muda huu Wana JF , Mimi ni mgeni humu Nina mpango wa kusoma short course za ubaharia pale DMI chuo Cha bahari , changamoto yangu nawaza baada ya mafunzo seatime nitapewa na chuo au nitatafuta mwenyewe?. Mwenye ujuzi anisaidie .
Habari za muda huu Wana JF , Mimi ni mgeni humu Nina mpango wa kusoma short course za ubaharia pale DMI chuo Cha bahari , changamoto yangu nawaza baada ya mafunzo seatime nitapewa na chuo au nitatafuta mwenyewe?. Mwenye ujuzi anisaidie .