Umepambana kuhakikisha siasa za Tanzania hasa za ndani ya Chama chako zinakuwa za kweli na zisizo na uongo, chuki na ubabaishaji! Bahati mbaya umeondoka wakati siasa hizo zilizokukera zikishika kasi kubwa kwenye Chama chako!
Nape Moses Nnauye
Chama Cha Mapinduzi
Katibu wa Itikadi & Uenezi Taifa
Kwenye red sikubaliani na wewe Gamba. Nape naona mnataka kutafuta haki miliki ya huu Msiba kama wa kanumbaUmepambana kuhakikisha siasa za Tanzania hasa za ndani ya Chama chako zinakuwa za kweli na zisizo na uongo, chuki na ubabaishaji! Bahati mbaya umeondoka wakati siasa hizo zilizokukera zikishika kasi kubwa kwenye Chama chako!
Nape, kwa hili leo tuko pamoja, tuweke mambo ya siasa kando tuangalie msiba kwanza, tuko pamoja kwa hili tu. Pumzika kwa amani Mzee Makani
Kuna wanasheria wengi lakini si wa aina ya Bob Makani! Umepambana kuhakikisha siasa za Tanzania hasa za ndani ya Chama chako zinakuwa za kweli na zisizo na uongo, chuki na ubabaishaji! Bahati mbaya umeondoka wakati siasa hizo zilizokukera zikishika kasi kubwa kwenye Chama chako!
Kitu cha msingi ni kumuombea mapumziko mema yenye raha Marehemu Makani. Lakini naona katibu mwenezi amepiga siasa kidogo pale.
Umepambana kuhakikisha siasa za Tanzania hasa za ndani ya Chama chako zinakuwa za kweli na zisizo na uongo, chuki na ubabaishaji! Bahati mbaya umeondoka wakati siasa hizo zilizokukera zikishika kasi kubwa kwenye Chama chako! Naamini Mungu atainua mwingine wa aina yako au zaidi yako, akiokoe Chama chako, ili kwa pamoja tujenge Demokrasia ya kweli nchini!
That is typical Nape asiyejua aongee nini na wapi kwa wakati gani.Kwenye maandishi RED naomba ufafanuzi kidogo sijui kama ilikuwa nilazima kuandika uliyoandika.
Wee, mbona haya hukuwahi kuyasema au kumsifia Bob Makani wakati akiwa hai? Hii inasaidia nini kwake au hata kwetu? Pili, hivi huoni wanasheria uchwara kwenye Chama chenu cha Majambazi?Kuna wanasiasa wengi lakini Mzee Makani ni wa aina ya pekee! Kuna wanasheria wengi lakini si wa aina ya Bob Makani! Umepambana kuhakikisha siasa za Tanzania hasa za ndani ya Chama chako zinakuwa za kweli na zisizo na uongo, chuki na ubabaishaji! Bahati mbaya umeondoka wakati siasa hizo zilizokukera zikishika kasi kubwa kwenye Chama chako! Naamini Mungu atainua mwingine wa aina yako au zaidi yako, akiokoe Chama chako, ili kwa pamoja tujenge Demokrasia ya kweli nchini!
Imani yangu inakataa kuwaombea marehemu kwenda mbunguni [mapumziko mema] tunaamini kama ulitenda vyema wakati wa uhai wako unastahili mapumziko mema kama ulitenda mabaya unastahili moto wa milele hata watu wakikuombea mchana na usiku haitosaidia kitu.
Nape, kwa hili leo tuko pamoja, tuweke mambo ya siasa kando tuangalie msiba kwanza, tuko pamoja kwa hili tu. Pumzika kwa amani Mzee Makani
Karibu CDM wewe
Yaani hawezi kuandika kitu ambacho kina mantiki bila ya kuharibu, hivi kati ya CCM na CDM ipi yenye siasa za chuki, ubabaishaji, uongo, uzandiki na kila aina ya ghilba?Kwenye maandishi RED naomba ufafanuzi kidogo sijui kama ilikuwa nilazima kuandika uliyoandika.
again...hypocrisy at its very very best......typical also of what JK does.. when attending virtually all funerals in town....Naamini Mungu atainua mwingine wa aina yako au zaidi yako, akiokoe Chama chako, ili kwa pamoja tujenge Demokrasia ya kweli nchini!