Namlilia Banjaoo

Namlilia Banjaoo

loose Nut

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2025
Posts
773
Reaction score
1,748
Kifo cha bilionea Banjoo kimeniacha na Simanzi sana. Pengo lake kamwe alitazibwa na yoyote na chochote.

Alikuwa mcha Mungu swala tano ana sijdah kwanini wamemdhulumu uhai?

Pia soma > Arusha: Je, kifo cha Banjoo (Abdilah Musa) ni ''auaye kwa upanga hufa kwa upanga''?

Kajenga misikiti, kasaidia mayatima na wajane alikuwa mstari wa mbele katika swala zima la kusaidia wahitaji na ubinadamu.

Allah amfanyie wepes na amsamehe dhambi zake huko Firdaus jannah.

adriz de mbusii
 
Kuna sehemu mwanae anasema siku za karibuni huyo babake alibadilika akawa mtu wa ibada sana akaongeza kuwa alikuwa anasali sala tano,,, kusikia hivyo nikajua marehemu alikuwa na matukio ya kikatili, naingia humu nakutana na uzi ukimzungumzia wa 2013,,,

Kuna mmoja kasema hata huyo mwanae ni walewale mtoto wa nyoka,, kama analo sikio mwambieni aanze kuswali lasivyo ataungana na baba yake vere suni
 
Kifo cha bilionea Banjoo kimeniacha na Simanzi sana. Pengo lake kamwe alitazibwa na yoyote na chochote.

Alikuwa mcha Mungu swala tano ana sijdah kwanini wamemdhulumu uhai?

Kajenga misikiti, kasaidia mayatima na wajane alikuwa mstari wa mbele katika swala zima la kusaidia wahitaji na ubinadamu.

Allah amfanyie wepes na amsamehe dhambi zake huko Firdaus jannah.

adriz de mbusii
Mange kasema aliyemuua ni mtoto wa former IGP..Mahita???? ( Sina uhakika hapo if it is Mahita)
Tuanzie hapo, tatizo ni nini?

Tafuta clip ya Mange hapa JG utaona
 
USIMUAMINI SANA MANGE KIMAMBI NAYE HUTEGEMEA TAARIFA ZA KUPEWA, PALE ALIPO TEKEWA WALINZI NI WENGI SANA, NENDA HAPO UTAPATA HABARI ZOTE UKIVUKA TU BARABARA KUNA KIJIWE CHA WAENDESHA TAX HUKAA HAPO STORI YA UHAKIKA IPO TULIA INSHU IISHE UTAPATA TU KAMA NI MNYETISHAJI, NIMETEMBEZA SANA VITUMBUA HAPO MIAKA HIYO
 
Kifo cha bilionea Banjoo kimeniacha na Simanzi sana. Pengo lake kamwe alitazibwa na yoyote na chochote.

Alikuwa mcha Mungu swala tano ana sijdah kwanini wamemdhulumu uhai?

Pia soma > Arusha: Je, kifo cha Banjoo (Abdilah Musa) ni ''auaye kwa upanga hufa kwa upanga''?

Kajenga misikiti, kasaidia mayatima na wajane alikuwa mstari wa mbele katika swala zima la kusaidia wahitaji na ubinadamu.

Allah amfanyie wepes na amsamehe dhambi zake huko Firdaus jannah.

adriz de mbusii
Hivi alikuwa bilionea wa nini?
 
USIMUAMINI SANA MANGE KIMAMBI NAYE HUTEGEMEA TAARIFA ZA KUPEWA, PALE ALIPO TEKEWA WALINZI NI WENGI SANA, NENDA HAPO UTAPATA HABARI ZOTE UKIVUKA TU BARABARA KUNA KIJIWE CHA WAENDESHA TAX HUKAA HAPO STORI YA UHAKIKA IPO TULIA INSHU IISHE UTAPATA TU KAMA NI MNYETISHAJI, NIMETEMBEZA SANA VITUMBUA HAPO MIAKA HIYO
Huu mkanda unaonekana upo wazi maana hapo km kuna security ya kutosha lazima watakua wameacha fingerprints zao za kutosha yaan wameonwa na waliowaona ndio wanajua full story, sasa tusubirie nini kitafuata dunia haina siri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom